Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Viongozi watata kama kipindi cha Amin hawapo, vita vilivyopo nyakati hizi ni kugombea madaraka tu, ambavyo ni vya ndani ya nchi.Rwanda huyo hapo kale hakana rasilimali za maana unadhan hatamani kuanzisha noma ili achote
Si ndivyo mnaitwaga na wale mnaowaita wavaa kobazi? 😆😆🤣🤣🤣
We jamaa bhana, dini si huna? Hilo jina kafiri unalipata wapi tena
Nawe unadhani ni kitu rahisi?Mfalme alikuwa ni baba yake.
Ivi mnafikili awa ndo wale Waisrael wa kina Mussa. Wale wa kina Mussa walishapita, awa ni wamchongo wanapigika kama ngoma tu🤣🤣Wadanganye wajinga na Wapumbavu wenzako MOSSAD haiandikwi hivyo MOSAD ni ya Mwanakwelekwe,Zanzibar???
Umesoma weeee kutuletea za AI generated peleka ujinga wako huko kwa Wafuga Midevu na Majini wenzako
Wazee wa vikao kama ukraine tu kila siku vikaoUsiku huu saa nne Netanyahu atakua na kikao Cha usalama na mawaziri wake
View: https://x.com/Osint613/status/1935036568420397430?t=czTOPwCFpAQmtxaTUfg0_w&s=19
Israel haijasema uongo huo angalia hayo maandishi juu ya jengo Mossad haindikwi hivyo!!! Wajinga tu na Wapumbavu ndiyo wataamini uongo huoKwa iyo mnabishana na wa Israel wenyewe.kwamba wao wanasema makao makuu ya Mossad yamepigwa, nyie mnasema sio🤣🤣🤣
Hawana akili haoYani blast yote hiyo bendera ibaki?
Hiyo ni AI
Uongo mtupuKwa iyo hata dw hamuwaminiView attachment 3373491
Hahaahhahahahaha leo utalalia mkukiUongo mtupu
China ajipange sana, kwa sababu ata vitu vyake anaviuza kwa dolaNgoja tusubirie boss mwingine wa Dunia kuja kutokea huyu USA anakera sana
View: https://www.instagram.com/p/DLAVifOsUs2/?igsh=MWl1cHhiNnVtYmk1ag==
Nimecheka sana mkuu.Mida muajemi si mna ijua saa 11 adi 12 asubuhi njee ya apo ogopa mataperi .
Huyo nani anamtaka kibaraka wa westernMsikilize hapa, kama anaongopa au anasema kweli hiyo ni juu yake, lakini kumbuka huyu ni Teza Pahlavi
View: https://x.com/PahlaviReza/status/1935027159741120713?t=IFwy1hORsWAybBscHxDNwg&s=19