City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Israel ni taifa la Mungu halipigi raia wa Iran ndiyo maana wairan wanafanya shughuli zao. Wao wanapiga vitu vyao kama Mdeme vile ila hao Iran wanapiga ilimradi tu kwenye nyumba za raia ndiyo maana naipenda sana Israel ni waungwana.Wanashambulia bila kupumzika huku Waajemi wakiwa wanaendelea na shughuli zao mchana na usiku wanajilalia zao hawana presha kama nguchiro wa Israel walivyo kwenye mahandaki mchana na usiku 😂😂.
Mida ya Muajemi ni mapema Alfajiri anaamsha madude hadi yalipopangiwa kupiga.
Huwa yanajisahahu sana majinga hayoKipindi Iran inarusha makombora 100 kuelekea Israel waliangalia nafsi zisizo na hatia?
Mimi nimeiweka taarifa kama wao wanavyodai, Kama wanaongopa hiyo ni juu yaoKama hiyo ni kweli, wawaache waandishi wa habari wafanye kazi yao ndani ya nchi yao tupate taarifa ya yanayojiri ndani ya Israel.
Mkuu humu tweet haifanyi kazi jaribu kuscreen shot bas tuitafute hiyo habari au tupe kwa kutumia chanzo kingineMakombora ya Israel yanavyoshambulia Tehran
View: https://x.com/SuppressedNws/status/1935033486756229443?t=wNiynznQ8LD_IyQXUGrvJw&s=19
Kwa nn kila kitu mnakimbilia kusema propaganda? Tusubiri itatoka taarifa tu Kama kauwawa au sio kweliHakuna taarifa juu ya huyo mtu kuuawa! Si yeye wala familia yake.
Kwa sasa kinachoendelea ni vita ya propaganda.
Kama yale Russia kaishiwa missile na wanajeshi wake wanatumia makolea kupigana.
Mkuu kuscreenshot najaza mapicha tu kwenye simu wakati hapo naweka tu link inakua imeisha.Mkuu humu tweet haifanyi kazi jaribu kuscreen shot bas tuitafute hiyo habari au tupe kwa kutumia chanzo kingine
Israel haina haja ya kuua raia bali viongozi wa iran na mitambo ya kijeshi na nyuklia.Sahizi Waajemi wamejilalia zao tu wanamchora Mzayuni anavyohangaika kisha wakimaliza usingizi wao mapema alfajiri wanatuma vyuma kama ilivyo ada kwenda kwa Mazayuni.
Yye mbona ana nyukiliaIsrael haina haja ya kuua raia bali viongozi wa iran na mitambo ya kijeshi na nyuklia.
Raia ni marafiki wa Israel hata sehemu ya viongozi walipo, wanatoa taarifa.
Unaelewa maana ya Shia wakisema Ashura?Bwana Ali anaendelea kukulaza kabla hayamkuta ya Gadafi
View: https://www.instagram.com/p/DLAr7iAsQdk/?igsh=ZDI2ZG10bWl2cHJ6
Huwezi kuisaidia nchi yenye wasaliti wengi na mamluki kuliko wazalendo, unapeleka silaha mamluki wanamkabidhi aduiBalozi wa Iran nchini Russia analalamika kuwa hawatasahau ni nani walisimama nao kipindi hiki kigumu na kina nani wameamua kukaa kimya (anawapiga dongo Russia)
Video chini
View: https://x.com/MOSSADil/status/1935031618411880677?t=FPfcz8DrFVM-tuzC0trGkQ&s=19
Popote ambapo US anaingia, kama hajafanikiwa lengo lake basi atakuachia kilema utakacho kaa nacho daima.Sasa kama kubwa la makafir USA ameingia kazini unategemea Iran atapona?
Na wewe unawaamini hawa?Muda huu makumi ya ndege za Israel zipo Iran zikipambana na makombra ya Iran
View: https://x.com/MOSSADil/status/1935033779388637199?t=VKkSBiLhcfxnNi1oyFT8Tw&s=19