SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

nani amekufa nani amenusurika inasaidia nini, regime change sasa Waajemi wenyewe wanitaka na wameipata fursa na itafanyika ASAP
 

Attachments

  • f43233f6421b025833edbafe085941ff_1750186188382.mp4
    8.1 MB
Ila siumeona shangwe kwa mbunge umejifunza nini?
 
Ule uzi wako ulikuwa unapenda kukumbusha kuwa uliandika kitambo sijui upo wapi siku hizi 5?
 
.. una skills njema sana za kujifajiri, Iran against all inatoboaje???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…