City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Jana internet ilizimwa, baada ya kuwashwa video za jana na leo asubuhi tukazipata baadae.Jana tulikua tunabishana na wewe hapa kuwa video hazipatikani sababu watu haeatuhusiwi kuchukua video, mbona hili shambulio la sasa hivi video zimepatikana na picha kabisa
Huu uongo haukusaidii chochoteJana internet ilizimwa, baada ya kuwashwa video za jana na leo asubuhi tukazipata baadae.
Wanarusha ili mradi yafike Israel,sandakalaweKobazi walivyo na akili ya kuchambia wanarusha makombora yao hovyo tu.
Jamaa wanawahesabia kimyakimya na mengine wanayatwanga.
Ndani ya wiki wakianza kuishiwa ndio kipigo cha mbwa mwitu kitaanza.
Huyo ni PR wa Shah kama humjui, akiongea 100 moja ndio la kweliReport za chini ndani ya jeshi la Iran zinassma morale ipo chini
Pia wanategemea marekani atashambulia Leo au asubuhi
Pia inadaiwa serikali ya Iran inaweza kutangaza kifo Cha Khamenei ili kuongeza morali ua jeshi kupambana na mashambulizi ya marekani yanayotarajiwa
View: https://x.com/NiohBerg/status/1935095807067267154?t=BlDvp-FqG8oNS6zhtKkA8g&s=19
Leo tu Asubuhi wamepiga MOSSAD HQ na Store yake ambayo haikua mbali na hio HQ, ni mpuuzi peke yake anayefikiri ni sadaqalawe, hata yanayo piga sasa hivi you can see impact.Wanarusha ili mradi yafike Israel,sandakalawe
😂Iron dome zinayaonea wivu missile za Iran toka asubuhi zipo busy zinabutua tu Tel Aviv.Hao mashoga wakapumzike wataua watu Bure ona wanavyojibutua
Hio sio missile ya Iran bali ni iron dome ama Ad nyengine ime mishit unaona huo mwezi uliochora hapo?Video nyingine ya shambulio lililopita la Iran
View: https://x.com/TehranDefence/status/1935097220849877366?t=JIwEUtdgOMc-HUu8C7AGXA&s=19