SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Mkuu tangazo linapotoka linakua la jumla, wewe usiku unalala lakini Kuna wengine bado wana kazi zao, usifikiri nchi nzima watu hulala usiku. Naposema mtaani maana yake watu wanaweza kwenda popote wanapotaka
Acha uwongo wewe,saa saba wakati wa vita watu wawe mtaani!!
 
Kwa mujiibu wa Ayatollah Leo Tena hamna kulala


โ—๏ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Tasnim News Agency:
โ€œThe Iranian attack tonight will be one of the most violent and widespread attacks in recent days.โ€
 
Kwa nijibu wa Ayatollah Leo Tena hamna kulala


โ—๏ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Tasnim News Agency:
โ€œThe Iranian attack tonight will be one of the most violent and widespread attacks in recent days.โ€
Hayo makombora matano matano na yote yanatenguliwa au kuna jipya jingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ