SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hivi nyie watu mnakichaa Iran ana viwanda vya ballistic missiles kila siku vinafanya kazi iweje aishiwe? Na materials ya production anatoa china hivi ni rahisi Tanzanian kuishiwa Korosho? Wakati kila msimu watu wanalima? Kabla ya mwaka Jana alipandisha uzalishaji Kwa 50+ per day kitu kilichofanya US aanze kuleta ***** ***** pamoja na shoga ake zayuni
 
Hivi kweli mkuu wewe ni mtu kamili au robot lilomezeshwa data za kufumba? Yaani unafananisha utengenezaji wa ballistic zidi ya korosho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…