Sio 5 ni 7 kaka.Iran amesema ataongeza mashambulizi kadri muda unavyozidi kwenda.
Kipigo cha usiku wa kuamkia leo kimeua mayahudi 5 na majeruhi kibao.
Al Jazeera wapo live wanaonesha uharibifu wa miundombinu ya Israel baada ya mashambulizi ya Iran.
Angalau sasa Israel ameanza kuonja uchungu wa raia wake kulengwa na kuuawa kama anavyofanya kwa watu wa Gaza.
Oya Iran wamedhamiria aisee."Iran tumejipanga vya kutosha kwa vita vya muda mrefu na Israel" . Statement by Iranian top officials.
Kwanini hakua targeted wakati ndio mfanya maamuzi wa mwisho!?Hakuwa targetted wala Rais, ila muda unavyoenda huenda wakaungana na wenzao.
Netapaka kakimbilia Ugiriki tangu juziTuliposema Iran alikuwa anaitaka hii vita tulimaanisha kwamba alishamsoma Israel anapigika kila eneo la ardhi yake.
Ona sasa Iran anavyojipigia kila eneo la Israel anavyochagua yeye.
Akitaka kumla kichwa Netapaka ni suala la kuamua tu.😂