SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hizo ni mbwembwe za yahud kuonesha shambulio ni dogo na dhaifu
Na internet hivi sasa wanaiwasha na kuzima, ni kama wameanza kuweka firewall n.k kwenye internet ...
Mzinga ukitua, internet inazimwa watu wasi post, Israel inahangaika sana asee...
Na hivyovi page vyao vya IDF kuwaambia mara raia watoke, mara waingie... ni kujikosha tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…