City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Jamaa wamekamiwa hili ni funzo kwa CCMTv stations mbalimbali zimekua hacked nchini Iran na zinatangaza wananchi waandamane kuiondoa serikali
View attachment 3375257
Wote wana manundu sema kuna mmoja wanampaka mekapu aonekane hana ngeu 😁Sasa hivi habari nyingi zimekuwa propaganda, hakuna tena taarifa za uhakika.
Sasa hivi naangalia tu reaction za kila mmoja ndio najua ni kiasi gani amepigika.
Hahaha Israel amepodolewa au sioWote wana manundu sema kuna mmoja wanampaka mekapu aonekane hana ngeu 😁
Hawa jamaa Leo wameamua aiseIsrael inaendelea kushambulia kwa makombora muda huu huko Tehran
View: https://x.com/Osint613/status/1935406799181725842?t=YYCgZcuEs4vZ38cf4tZNeA&s=19
Wote wana manundu sema kuna mmoja wanampaka mekapu aonekane hana ngeu 😁
Leo sijui kwa nini Israel anashambulia sanaHawa jamaa Leo wameamua aise