This time it is realNajua kuna madai ya Israel ya kwamba Iran inafadhili makundi ya magaidi. Amboayo wanayataja kama Hammas, Hizibollah, na Houthi. Ila mzozo uliopo sasa una sura tofauti kidogo. Israel na Marekani ndio wanalalamika kwamba Iran inarutubisha Uranium kwa ajili ya kutengeneza silaha za nuclear. Iran imejitetea mara millions times kwamba shughuli zake za nuclear ni kwa ajili ya matumizi ya nishati. Zaidi ya miaka 30 haya malalamiko yapo. Na mpaka leo iran haijafanikiwa kuwa na bomu la nyuklia.
Yaleyale ya Saddam huseni. Walimtuhumu kumiliki silaha za maangamizi lakini siku ya mwisho silaha hazikuonekana.
Nikuulize wewe. Kazi ya UN ni nini?
Ofcourse wameelimika, tech nyingi tunazotumia leo hii zimetoka kwao nyingi sanaWaafrika bado mnasema wazungu wameelimika kuliko waafrika
Ninyie mnaandamana kupinga nini?, wa Iran wanaandamana kuishangilia Israel na kupinga utawala wao, huruma yenu ni kwa utawala au wananchi??Israel imelipua Makao Makuu ya Polisi huko Tehran. Tuzidi kuwaombea kwenye swala zetu. Ikibidi Ijumaa baada ya Swala tufanye PRESS CONFERENCE au Maandamano kulaani vitendo hivyo.
Wamezuia picha hizi zinatokaje?Wala hawakushambalia hospital ila kitu kizito kimepiga target ikachanganywa na hospital hapo vimada vinatafuta huruma ya bwana wao sasa🤣🤣
Sisi Iran tutamfuta kabisa Israil kwenye hii dunia, Maalim tulia tuliii******** Russia na Putin kama hawajui kinachoendelea hapo mashariki ya kati. Kinachoendelea huko Iran ni ujumbe kwa russia. Kwamba hata yeye ni swala la muda tu. Kitamkuta kilichokuta mshirika wake wa karibu iran. Israel imezipiga na kuzichakaza gaza, Lebanon kule beirut, Sanaa pale Yemen. Sasa Teheran inaenda kuwa gaza mpya. Jumuiya za kimataifa haswa zile nchi kubwa zenye uchumi zinamuunga mkono israel kwa ushetani wanaofanya. Russia imeshindwa hata kutoa kauli ya kulaani uvamizi na mashambulio yanayoendelea kuvurumishwa kwenye miji ya iran.
Russia kaingia kwenye mzozo na Ukrane ambaye kwa % nyingi ni ndugu amekumbana na vikwazo vikali ambavyo hakuna nchi iliyowahi kuwekewa tangu kuumbwa kwa hii dunia. Mpaka FIFA, na UEFA na wale wanaoanda mashindano ya Olyimpiki nao wameiwekea vikwazo vya michezo Russia.
Hivi kazi ya umoja wa maifa UN ni nini? Yaani Israel inaruhusiwa kufanya ushetani na dunia nzima inaangalia bila kuchukuwa hatua ya kuzuia!!
Kama kuna jumuiya ambaya ni ya kimbwa na kifala ni BRICS. Mwanajumuia mwenzao amebananishwa wao wapo tu kama vile hawajui kinachoendelea. Hata matamko tu wameshindwa. Russia alitumia nguvu kubwa kumlinda Asad wa Syria.. anashindwa nini kumsaidia Ayatollah na Iran wasipate kichapo toka kwa Israel na Marekani? Huu mzozo ndio umenifanya niamini unafiki wa west.
Kwa hali ilivyo kwa sasa. Nchi yenye nyuklia ndio nchi zipo salama mbele ya Marekani na Mashetani wa ulaya.
Nilikua naamini hivyo pia kumbe mtoa roho akikutana na mtoa roho mwenzake lazima milio itokeMi huwa naogopa sana kwenye mihadhara yetu wanaposema Israil ni mtoa roho wakati huo huo tunatamani tumfute katika uso wa dunia
Yaani kifo tutawezaje kukitoa katika uso wa dunia?
Kuna mahala Mashekhe zetu huwa wanatuingiza cha kike
BAKWATA toeni tamko kulaaniHatari sana
IRAN imeshafeli, pisi zinashangilia mitaani na vi min-skirtKwa mujibu wa Washington posts, Wayahudi mifumo yao ya ulinzi imezidiwa na inauwezo wa kuendelea kuintercept mabomu kutoka Iran, ndani ya wiki mbili zijazo kama hawajapata supply au US kuingilia kati basi hali itakuwa mbaya.
Source: Times of India YT.
hizo siyo military target,hazina any victory vaalue ni mashambulio ya kupanic, ISRAEL inaharibu military targetsIla Iran 🇮🇷 safari hii kaamua.View attachment 3375585