..and this is the beginning of the end of IRANIAN regimeIran hata ikipiga hospitali haina shida..
Israel imepiga hospital ngapi Gaza? imepiga hospital Iran..
Ayatollah na viongozi wake wanakimbilia RUSSIA, i.e imekwiiishaIran hata ikipiga hospitali haina shida..
Israel imepiga hospital ngapi Gaza? imepiga hospital Iran..
Inasaidia nini wakai kila siku wanapigwa hypersonic... ndege 4 za F-35 zimepigwa halafu unasema una control anga, yaani ndege ambazo wanadai ni advanced zaidi zinapigwa...
Kwa uzito wa warheads zilizootumika wallah hio hospital ingebaki majivu TU, nakuhakikishia hizo ni waves tu bro.Aljazeera inaonesha live, usipotoshe
Propaganda...
Eti grave violation of International Law....hahahaaa my foot.. kule Gaza je? KARMA IS REAL ndugu zanguHuyu balozi wa Israeli kwenye baraza la umoja wa mataifa anashangaza kweli. Juzi alisema hawaombi kibali cha kuishambulia Iran bali wanatoa taarifa tu. Leo kaja na haya
View attachment 3375639
Hawaelewi kitu..Kwa uzito wa warheads zilizootumika wallah hio hospital ingebaki majivu TU, nakuhakikishia hizo waves tu bro.
Kwa uzito wa warheads zilizootumika wallah hio hospital ingebaki majivu TU, nakuhakikishia hizo ni waves tu bro.
Huyo anaongea ni former United States Marine Corps intelligence officer...
Putin amesema anasubiri simu iite tu ili aje amtoe mtu mzima kamasi kwenye uwanja wa ugenini.Israel akiendelea kuchakazwa hivi bwana mkubwa ataingilia kati.
Unapiga residential area badala ya military facilities then unajisifu.Israel akiendelea kuchakazwa hivi bwana mkubwa ataingilia kati.
Unapiga residential area badala ya military facilities then unajisifu.