SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Huwa inanishangaza sana, Israeli akipiga hospitali pale Gaza husema Hamas wanajificha humo na wote tunamkubalia.

Iran akisema target sio ile hospitali bali target ni maeneo muhimu ya kijeshi yaliyozunguka hospitali na kilichotokea ni shock waves tu za explosion.

Lakini kipindi hiki kama karibu ya hospitali kuna military targets kwanini wagonjwa wasiwe evacuated maeneo ambayo hayako karibu na military targets?

Ilikuwa sawa Israeli kushambulia kile kituo cha redio cha kiraia, ilikuwa sawa Israeli kuhack internet inayotumiwa na raia na mifumo ya kibank?

Dunia kuna mahala inamsema Israeli anapoua wapalestina ambao ni raia wa kawaida.
 
Endelea kuleta mediocre sources.
Wananchi wa Iran, wanashangilia kupata uhuru wao, we mmatumbi wa Tanganyika unajitesa kwa makasiriko
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…