Mkuu Pakistan vita ni nyumbani kwao, hawa wamepigana miaka nenda miaka rudi na wana silaha nzito mpaka nuclear bombs, yaan hawa jamaa wana wataalam kinyama sana, na for your information India na wao ni 50-50 sikwambii kataifa kadogo kama IsraelPakistan vita anajua wapi? Pakistan vita vyao kama bata, na hawezi thubutu kuingia, maana atakutana na moto toka mbinguni kitu Satellite guided Laser weapon, huu ni moto toka mbinguni..!! Hii kitu acha kabisa, Rais wa Iran helicopter yake ilichomwa chap wanasema ni hii Space Laser weapon
View: https://youtu.be/hd12I638zdI?si=vsDPWFTtXWvNeBVf
Kuna censorship kubwa sana ya taarifa kutoka Israel juu ya damage iliyofanywa na missiles za Iran. Kuna mkakati makhsusi unafanywa polepole na media ili kuonyesha ulimwengu civilian sites ili kubadili public opinion ya dunia kuwa ni Iran aliyechokozwa na kwamba Israel imeua raia wengi wa Iran hivi sasa kuliko Iran ilivyoua raia wa Israel
Baadhi ya targets ambazo Iran kapiga Israel ni
1. Head Quarters ya wizarabya Ulinzi wa Israel
2. Haifa Port
3. Viwanja vya ndege za kijeshi
Amesha declare interest huko juu kua hayo mambo anayapenda. Alieanza tangu akiwa mdogo kuangalia muvi za vita.We mwamba sema unainjoi sana haya mambo ya vita naona unafatilia sana mpaka inafikia hatua unaona wanakuchanganya an 🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe kula viazi vyako na wali kiporo then uendelee kujamba. Unaondelea nyuklia kama vile kumnyang'anya rungu.Pakstan wasubiri dawa yao ipo jikoni
Wakubwa wanapanga kumpokonya nyukilia kwasababu hana akili
Netanyahu anataka kufanya kila namna kuhakikisha USA anakuja kumuokoa.Kama huyo macho mvimbo kaingia baaas kazi imeisha.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yaani toka jana ajalala yeye ni kufatilia tuu..Amesha declare interest huko juu kua hayo mambo anayapenda. Alieanza tangu akiwa mdogo kuangalia muvi za vita.
Daaah kwani mkuu kwenye huu ugomvi wenu viazi na wali umewakosea nini...Wewe kula viazi vyako na wali kiporo then uendelee kujamba. Unaondelea nyuklia kama vile kumnyang'anya rungu.
Apeleke ndege ili iweje wakati wana bofya tuu shaheebSio yote ila mengi yame be intercepted we huoni zile video, kama yote yangepita Israel ingekuwa kifusi sababu Iran kashapiga zaidi ya missiles 250 na leo morning karusha kamikaze zake zimenaswa zote , ila Israel anajitahidi kwenye ulinzi wa anga Iran alete ndege yake aone kama itarudi ata 1