City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Mkuu huwa mnaweza hisia sana mnapojadili hizi mada.Uliliona tangazo la waziri wa usafirishaji wa Israel?
Aliongea live alisema serikali isiruhusu raia yeyote wa Israel kutoka nchini.
Wanaoruhusiwa kutoka ni raia wa kigeni na diplomats wa kigeni.
Kaa fikiria hii inaashiria nini.
Vita ya Hamas imewaohamisha raia million Moja na robo wa Israel.
Hii imeonesha raia wengi zaidi ya vita ya Hamas wanataka kuondoka.
Na hao walioondoka kipindi cha vita ya Hamas ni laki tatu tu ndio wamerudi.
Kuna mtu anaweza kunambia uhusiano gani wa kindugu, kisiasa, kitamaduni, kijamii, kijeshi au wa aina ina yoyote ule alionao Israel na mataifa makubwa ya Ulaya na US?
Yaani ukimgusa Israel kidogo tu ni kama umekanyaga kende za USA na washirika wake.
NB. Asitokee mtu akanambia wanasyansi wa Israel ndio wanaoiongoza USA na upuuzi kama huo.
Mkuu raia wanakimbia Israel wakati ni salama kwao kubaki Israel kuliko huko nje ya nchi? Sasa hivi serikali inarudisha raia wake walio nchi mbalimbali sababu ya kiusalama, wanakua targeted na watu wenye misimamo mkaliIran wanahama mji sio nchi, ni kweli Israel raia wanakimbia wengine wanapanda boat kwenda Cyprusus, nauli mwanzoni kwa boat ilikuwa $20 hivi sasa ni $5000..
Kama anga la Iran lingekua lipo uchi kiasi hicho madhara yangekua makubwa sana kwa hizo ndege 100+ zinazorushwa Kila wakati.Mkuu tuna maanisha anga la Iran lipo UCHI
At anytime Zina ingia ndege zaidi ya 100 zinapiga zinapotaka na zinatoka salama salmini
Hatumaanishi Iran hawezi kufanya chochote ndani ya Iran
Iran bado ana struggle na ANGA la Israel kwasababu sio makombora yote yanatua na drone karibu zote zinaangushwa njiani...... vinginevyo Israel ingekua kama Gaza
Hiyo taarifa ya Cyprus huenda hamkuielewa au sasa na nyie mliingia kwenye huo mtego mnaossmaga ni wa propaganda. Issue ilikua ni waisrael walioko Cyprus ndio walikua wanarudi kwao, nyie mkawekewa picha kuwa ndio wanakimbia kwaoIran wanahama mji sio nchi, ni kweli Israel raia wanakimbia wengine wanapanda boat kwenda Cyprusus, nauli mwanzoni kwa boat ilikuwa $20 hivi sasa ni $5000..
Asaivi me naangalia hata post ya kureply coz hawa wengine humu wanajibu wanachojisikia kujibuMkuu huwa mnaweza hisia sana mnapojadili hizi mada.
Unajua ni hatari kwa waisrael kuwa nje ya nchi yao kipindi hiki kuliko hata kuwa ndani ya Israel? Hivi unajua kuwa toka ile vita yao na hamas ianze mwaka Jana Israel ilisitisha kushiriki michuano mbalimbali ya michezo sababu ya kuwa targeted na watu wenye misimamo mikali?
Israel kwa sasa husaidia hata walio nje ya nchi warudi ndani sababu ndio salama kwao kuliko kuwa huko nje
View: https://youtu.be/5uj5YoVJTLU?si=cU1cVlGu3CJ7k4C8
Mkuu unaleta habari za upande mmoja?Mkuu huwa mnaweza hisia sana mnapojadili hizi mada.
Unajua ni hatari kwa waisrael kuwa nje ya nchi yao kipindi hiki kuliko hata kuwa ndani ya Israel? Hivi unajua kuwa toka ile vita yao na hamas ianze mwaka Jana Israel ilisitisha kushiriki michuano mbalimbali ya michezo sababu ya kuwa targeted na watu wenye misimamo mikali?
Israel kwa sasa husaidia hata walio nje ya nchi warudi ndani sababu ndio salama kwao kuliko kuwa huko nje
View: https://youtu.be/5uj5YoVJTLU?si=cU1cVlGu3CJ7k4C8
Ila huyo Allah wenu hapendag amani kila mlipo ni vurugu tu, ila mwezi wa ramadhani watakatifu dahWanaojipanga kumuua Khamenei embu msikilizeni.View attachment 3376033
Inawezekana yuko pale middle east kwa makusudi maalum ya USA na washirika wake.Wako pale strategically, naanza kuamini tafsiri ya Zionist na Jews, Zionist ni wahuni walitoka Ulaya kuja Israeli ila Jews wenyewe ndio natives wa mashariki ya kati ambao inaonekana hawakubaliani na hawa Zionist.
Kwa usiku mmoja wanatumia USD 270Israeli afanye anavyofanya hizo ADs hasa za Iron dome zisimuishie na anga kuwa uchi....
Anga yake ikiwa overwhelmed tu ajiandae kupokea kipondo kibaya sana cha mvuza za Kamikaze drones ambazo Iran anazo nyingi sana aisee..
ADs za THAAD na Arrow sting ni gharama sana inasemwa kombora moja kutoka THAAD na hiyo Arrom sting ni zaidi ya $2m kwa maana hiyo ni very limited, Japo tayari USA ameongeza stock.
Kitu kizuri kwa sasa waisraeli wa kwa mparange naona wameacha kuwa wanafiq awamu hii. Sioni zile #prayForIsraelis
Haaaa umechoka mzeee ndio ukubwa mkuu kizazi chetu kinashuudia kuangamizwa kwa taifa teule la mchongo!!!Back again, get ready for the updates
Wakati ule yule Binti aliyefariki kwenye maandamano Cha chadema mkuu yule aliposema risasi ilipiga Kona nilibisha sasa naamini Kwa mnyongoroto huo wa kombora la Iran Sina deni na kamanda yule