tatizo apo netenyau akirudi kujibu ni iran inakua mkaaHaki hii ni balaa, Hii ni Telaviv na Haifa kweli?
Makombora ya Iran yameleta uharibifu mkubwa sana
My take: Wanaoumia na hii vita ni raia wa kawaida kati ya mataifa hayo mawili
Hivi inamaana nchi nyingine zimeshindwa kabisa kuwaambia hawa watu waache kupigana??
View: https://x.com/WarMonitors/status/1935657429225669023?s=19View attachment 3376526
Waende kabisa, hiyo itakuwa imekaa vema sana. ila wakumbushe Iran sio GazaIDF
Kama US wataendelea kusuasua kujilipua mitano ya Nyuklia ya Iran KWA Bunker Booster sisi tutaenda wenyewe kuvamia KWA miguu. Mpango wa namna ya kupafikia KWA groundforces uko tayari ni suala la Maamuzi tu.
Wapi nimeandika wairan ni waarabu nionyeshe huo mstari upo wapi ?Wewe ulisema ni waarabu kama mentally hata wasomali wanamentality ya kiarabu
Usinikasirikie mimi , wakasikirie USA waliedanganya taifa lenu la mungu uchwara kuwa watawasaidia alafu sahivi taifa la mungu uchwara linageuzwa juu chini na IranTafuta kazi ya kufanya uondoe kwanza umasikini ulionao
Sawa Mkuu ngoja niendelee kusubiria utabiri wako wa Sheihk Yahya kwenye vita..Mkuu Israel anapata tabu kivipi? yaani unataka asipigwe hata kidogo? ulitaka apige yeye asiguswe?
Mimi naona Israel bado anaenda vizuri tu na sasa anaingia Iran muda na saa anayotaka, ndani ya week 2 hizi tutaongea mengine kwani Iran kashatepeta.
Kakosea kukubali kutumiwa na USA kuishambulia Iran...ilitakiwa imwache marekani ifanye yenyewe mashambulizi kule irani kidogo wangekuwa wametumia akiliIsrael kajiandaa kaanzisha vita kwa kushtukiza na bado anapata tabu aisee angekua anawaza vizuri angewapotezea hao waajemi maana sio watu kabisa..
Haa hiki ni kichekesho ...kwanza walisema wameshalipua mitambo kumbe wanajua kuwa ipo chini ya ardhi hivyo uongo wao wameanza kuusema wenyewe..ni ngumu trump kuingia kule ilani kwa kichwa kichwa bila ya kupata hakika ya urussi na china bali itaendelea kuingiza kidole tu siyo kichwa.IDF
Kama US wataendelea kusuasua kujilipua mitano ya Nyuklia ya Iran KWA Bunker Booster sisi tutaenda wenyewe kuvamia KWA miguu. Mpango wa namna ya kupafikia KWA groundforces uko tayari ni suala la Maamuzi tu.
Una ushahidi na unayoyasema!!? Au unaendeshwa na Propaganda tu ?Kumbe jana chuo kikubwa cha kisayansi cha Israel kiliharibiwa kwenye shambulizi jana hasubuhi ila kinacho oneshwa ni hospital?
Ahadi zake ni Feki kila siku nihivyo hvyo ITALIPA VIKALI, ITALIPA VIKALI akijibu ni nuclear site, kitu ambacho hana uhakika nacho asilimia mia juu ya wingi nuclear site za Iran.tatizo apo netenyau akirudi kujibu ni iran inakua mkaa
Hata hilo kombora la Marekani Kuna jamaa walikuwa wanajifanyia analysis linamapungufu MENGI kuwezesha hiyo project.Haa hiki ni kichekesho ...kwanza walisema wameshalipua mitambo kumbe wanajua kuwa ipo chini ya ardhi hivyo uongo wao wameanza kuusema wenyewe..ni ngumu trump kuingia kule ilani kwa kichwa kichwa bila ya kupata hakika ya urussi na china bali itaendelea kuingiza kidole tu siyo kichwa.
Hakuna aliye tayari Kwa hilo ndio maana Iran anataka kumalizia kazi mapema Ili maisha yaendeleeuko tayar bei ya bidhaa kupanda ikiwemo mafuta?