SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

mosaad wana njia nyingi za kumaliza hii kesi
 
Haya mapicha yoote ni fake news🤣
 
Kombora la leo limeacha shimo la hatari Beerssheba.. Iran sasa hataki kuua raia anawapiga na shockwave.
Kombola limeangukia sehem ya wazi si kwamba hataki kuua raia nataka sana lakini si rahisi kuua raia wa Israel maana kuna hatua za kiusalama zilizowekwa ikiwemo Ving’ora na Basement(Mahandaki). Hizo zote ni kuwakinga wananchi wasipate madhara na mashambulizi ya magaidi
 
Iran ngonjera zimekuwa nyingi Sana. Ni kama wanaji-expose kwa Adui......... Badala ya kufanya kweli kimya kimya wao wanaendekeza mipasho. Haya, siye mashabiki tutaendelea na tolling tu. 🔥🔥💣💣
Kipigi Cha Jana hamjamisikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…