City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Live kwa maana ya sasa hivi?Niko nafuatilia live hapa vimondo vya Irani jinsi vinavyoshuka na kupiga Israel.
Jana Israel ilijitahidi kupangua makombora ya Iran, leo naona makombora yanapenya tu
Wameanza tena!?Niko nafuatilia live hapa vimondo vya Irani jinsi vinavyoshuka na kupiga Israel.
Jana Israel ilijitahidi kupangua makombora ya Iran, leo naona makombora yanapenya tu
Mida hii?Niko nafuatilia live hapa vimondo vya Irani jinsi vinavyoshuka na kupiga Israel.
Jana Israel ilijitahidi kupangua makombora ya Iran, leo naona makombora yanapenya tu
China, urusi, Iran nao wanapangaHe is buying some time.. While mipango mingine nyuma ya pazia inaendelea.
Muongo huyo labda haelewi maana ya live. Bado Iran haijashambulia labda kama watashambulia baadaeWameanza tena!?
Toka nijiunge jf, hii comment nimei save google drive...Anayetafutwa kwenye hii vita kwa sasa ni US na jamaa ameshasanuka kitambo ndiyo maana maneno ni mengi.. japo mimi najua kabisa baba wa kweli hawezi kumwacha mtoto wake auwawe kwa dhihaka huku yeye anashuhudia na akijua wazi ndiye aliyemtuma akachokoze watu asiojua uwezo wao.
Baba wa kweli anajitoa sadaka kwaajiliya watoto wasio na hatia aliowaleta duniani pasi na wao kutaka haijalishi hata atauwawa kinyama.
Ikiwa basi USA atabaki kurusha maneno badala ya kuchukua hatua kuinusuru Israel, sisi walala hoi tutajua wazi kabisa Iran ni taifa lenye nguvu kubwa duniani ila halitaki kujionyesha na moja kwa moja kawashinda USA na Israel kwa wakati mmoja.
Nb. Kama israel inajiamini iache watu watupe habari za yanayojiri huko maana ukilinganisha air defence system ya iran inavyo nyakua makombora ipo speed sana kuliko lile litoy la israel walilopewa na USA lipo slow kichizi mpaka lina boa
Maersk kashatangaza Kusitisha shughuli Haifa,Iran anapiga kimkakati,jana kabutua hq underground kule hospital,kishapiga miundombinu mingi, kapiga cyber unit ikiwemo Microsoft
Leo sijui kapiga nini haifa mpaka Mayor kapagawa,mayor kasema hawaruhusiwi kusema,ila haifa palikua na mlipuko wa ajabu
Yes mida hii vitu vinashuka Tel AvivMida hii?
Mkuu huu ni uongo. Hakuna mashambulizi yoyote muda huu kwa pande zoteYes mida hii vitu vinashuka Tel Aviv
Iran ilirusha kombora nyingi mwanzoni kwa sababu Israel air defense systems zilikua very active, ila kwa sasa wanaishiwa interceptors na air defense systems zao zinachok kiasi kwamba Iran inarusha kombora moja na linapenya, muda kidogo ujo Israel itashindwa completely hata kurusha interceptors...From 200 ballistic missile per night to 1 missile, what happen to iran? Au ndio washabondwa kwenye kiini?
😂 😂 😂 Best comment ever, but inazungumza ukweli........Kibaraka aliyetumwa na USA kwenda kupima mambo karudi amevimba kila mahali hawezi hata kutamka maneno vizuri
Sasa anasema thatha
Maziwa anasema mathiwa
Samaki anasema thamaki🤣🤣🤣
We jamaa kwa fix tu haujambo 😂😂 ivi unaandika ukiwa na akili zako au za mwenzako?Iran ilirusha kombora nyingi mwanzoni kwa sababu Israel air defense systems zilikua very active, ila kwa sasa wanaishiwa interceptors na air defense systems zao zinachok kiasi kwamba Iran inarusha kombora moja na linapenya, muda kidogo ujo Israel itashindwa completely hata kurusha interceptors...
Yani imekua kitu cha kawaida kabisaIla hii dunia, ilipofikia yaani binadamu kutoa uhai wa binadamu mwenzake ishakua kawaida.
Wamesitisha toka ijumaa mzozo ulivyoanza, Wala si leoMaersk kashatangaza Kusitisha shughuli Haifa,
View attachment 3377191
Bado percentage of interceptions ipo kubwa, last wave out of 20 missiles wameintercept 17 na matatu yamepenyaIran ilirusha kombora nyingi mwanzoni kwa sababu Israel air defense systems zilikua very active, ila kwa sasa wanaishiwa interceptors na air defense systems zao zinachok kiasi kwamba Iran inarusha kombora moja na linapenya, muda kidogo ujo Israel itashindwa completely hata kurusha interceptors...
Kwani walikuwa wameacha?Wameanza tena!?
Huyo kobazi mkazi wa nanguruwe hana akili na hakuna anachojua anaandika tu kiisia, ajui kama nchi ikianzisha vita ina mambo mengine wanaangalia ikiwamo na hilo,yeye anafikiri wenzio wamekurupuka tu hajui jamaa wapo vitani 3 years nowBado percentage of interceptions ipo kubwa, last wave out of 20 missiles wameintercept 17 na matatu yamepenya
Je watashindwa mbeleni kuintercept, tusubiri maana wanaweza wakashindwa kweli au bado wakaweza kuintercept
Nimemsoma lakini ameweka hisia zaidi. Iran moja ya lengo lake ni kuifuta Israel, na kama tayari kwa sasa wana huo uwezo basi hii ndio nafasi kwao hivyo wala haihitaji konakona zingine zozote ni kuendelea na mpango wao mpaka watapofanikiwaToka nijiunge jf, hii comment nimei save google drive...