SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ni hivyo, habari yake nilishaiweka juu.
 
🚨 Breaking: Fereydoon Abbasi, one of Iran's top nuclear scientists, in an interview last month:

β€œWe have all the capabilities and know-how for building nuclear weapons. We can build it whenever we decide.” πŸ‘‡

Abbasi was eliminated last week.
 
Hapo kwenye 400 weka iwe 450 waliokufa na hiyo 3056 weka majerui 3500 ndo idadi kamili mpaka muda huu huko irani
 
Hatujui Iran amefuata nini Turkiye na sidhani kama amefuata msaada directly.
Iran walisema hahitaji misaada ya kijeshi wanajiweza.
Misaada ipo ya aina mingi hata mbinu za kivita nazo ni misaada tosha, au Nini wafanye kipindi hichi.
 
Iran walisema hahitaji misaada ya kijeshi wanajiweza.
Misaada ipo ya aina mingi hata mbinu za kivita nazo ni misaada tosha, au Nini wafanye kipindi hichi.
Huwenda labda ameenda kwa swala la kidiplomasia zaidi.
Japo kinachomtokea Iran nchi nyingi zishajiona haziko safe hapo mid east na sio za kumuamini USA hata kidogo.
 
Kuna ubaya mtu kujifunika mzee?
Mbona hao wa chini wamevaa mitandio vizuri na wamependeza?
Sijasema ni vibaya.
Nilikuwa naonyesha kulingana na post za juu.
Maisha ya wairan kabla ya utawala wa sasa.
Kwanza mimi kujifunika ndo ustaarabu
 
Uko empty sana kwa details na kujenga hoja,inaathiri hadi uulizaji maswali, rasilimali gani za mataifa yenye nguvu kijeshi wamezitamani na dhaifu kijeshi hawakuzitamani?.. DRC na angola ni mataifa yenye nguvu kijeshi?
Ni wapi nimesema Angola ama DRc ni mataifa yenye nguvu kijeshi?..
umekuwa sarcastic ili U- sound revant.
 
Hawaii ni mbali sana na middle east mkuu lazima uvuke pasific ocean

✈️ Jeshi la Marekani lapiga kambi rasmi katika ukanda wa Pasifiki!

Ndege sita za kivita aina ya B-2 Spirit, maarufu kwa teknolojia yao ya stealth (kutogundulika kwa urahisi na rada), zimewasili rasmi katika moja ya vituo vya kijeshi vya Marekani vilivyoko ukanda wa Pasifiki, zikiwa zimejihami kikamilifu kwa operesheni yoyote itakayoamriwa.

πŸŸ₯ Kwa mujibu wa taarifa ya Fox News, hatua hii ni sehemu ya maandalizi ya kina ya kijeshi yanayofanywa na Marekani kufuatia ongezeko la mvutano wa kimataifa.

πŸ“ Iwapo ndege hizo zitaelekezwa Hawaii, kuna uwezekano mkubwa zikasafirishwa hadi kituo muhimu cha kijeshi cha RAF Diego Garcia, kilichopo Bahari ya Hindi, ambacho ni cha pamoja kati ya Marekani na Uingereza.

πŸ“ Na ikiwa zitaelekezwa Guam, zina uwezo wa kutekeleza shambulio la haraka, la umbali wa kati, dhidi ya Iran β€” bila hata kuhitaji kusogea zaidi.

⚠️ Hatua hizi zinaashiria kiwango cha juu cha tahadhari na uwezekano wa mivutano ya kijeshi kati ya Marekani na Iran kufikia hatua ya hatari zaidi.

πŸ•ŠοΈ Tunasubiri kwa tahadhari kubwa kuona hatma ya hali hii inayozidi kupamba moto...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…