Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 1,490
- 3,482
Siyo kirahisi hivyo, rejea Hamas mpaka Leo nothing achieved.Hapa inatakiwa Israel asipoe kama masaa 48 mfululizo ili akipumzika anakuja kumalizia tena kwa masaa 48..........ili tendo akilifanya kwa mwezi vita itakuwa imeisha
Unafahamu kuwa China imewahi kupigana na marekani ?Umeisoma comment yangu au umekurupuka kujibu?
Nimesema nchi yoyote inayoinuka kijeshi huku iko kinyume na matakwa ya NATO huwa lazima ikumbane na vikwazo vya kiuchumi maana majeshi bila uchumi hakuna kitu utafanya.
China walikuwa wajanja walianza kujenga uchumi baada ya kukua ndio wameingia kwenye majeshi sasa.
Kama haukubaliani na hilo toa mfano wa nchi moja tu duniani ambayo imekuwa kijeshi ikiwa kinyume na NATO halafu haijakumbana na vikwazo vya kiuchumi
Huwa mnaandika kwa kufikiria? Au kwa ushabiki?Hao wote wamedhoofiishwa kuliko ilivyokuwa mwanzo Hezbullah hakuwa mtu wa kuisikiliza Serikali ya Lebanon ila baada ya mkong'oto saa hizi ana adabu, Houth anakaribia wiki hakuna kombora pale Ben Gurion, Hamas ndo wamebaki kugombea chakula cha wana Gaza.
Mnaweza kuwa na objective moja ila mmoja aka achieve na mwingine aka fail, ingekuwa hivyo unavyo fikiri nazani IDF wangekuwa wamewaza hilo kabla yako wewe ambaye hata panga la kumtisha kibaka akikuvamia usiku huna ila bonge la mjuaji kichwa emptyUkraine ilikuwa ikilenga high ranking officials wa Russian army mwanzoni mwa vita hakuna walicho achieve wakaona upuuzi maana hawakuweza na mpaka sasa hawajaweza kuwatoa Russia katika ardhi yao kwa hiyo mbinu yao.
Tuachane na Ukraine tuje kwa IDF wamelenga high rank officials wa Hamas mpaka sasa ipi Military objective wame achieve iliyo wapeleka Gaza ? Vita imeisha ?, mateka wamewakomboa ? Hamas wame waangamiza ?
Kuwalenga high ranking officials sio kumaliza vita au kunyong'onyesha nguvu ya jeshi itategemeana na hali ya mapambano,muundo wa jeshi,mafunzo,malengo ya jeshi husika unalo pambana nalo na pia uimara wake
Kuchukua nchi ya iran ni ngumu,Kuna jamaa Mmoja hapa kasema Israel inaenda Iran kuchukua nchi, nimecheka sanaπ nikifikiria hayo makundi yanavyo mhenyesha Israel Iran ndiyo ataweza?
7, October, 2023. Hamas aliingia akawakamata watu wake akaondoka nao, na mpaka Leo baado anawashikiria mateka, Tulidanganywa na Netanyahu ndani ya siku 7 atawasambaratisha, mpaka Leo Miaka miwili Hamas baado wapo wanadunda tu, Israel ameishia kuwaua watoto, wazee na kuangusha maghorofa basi. Lakini Hamas ni kama ameshindwa.
Ndiyo tufanye ulingaΓ±ifu kama Gaza kasehemu kadogo tu kijiografia ameshindwa! Je ndiyo ataweza Iran ambayo kijiografia ni nchi kubwa na wako vizuri kijeshi, siyo kama hao Hamas wa kuunga unga.
Au tuendelee kusikia propaganda!!
Ndio Ki historia wayahudi wameshika nyadhifa kubwa kubwa kwenye Dola za Middle East, na mpaka sasa kuna wayahudi wengi Tu waarabu, Wairan wenye vyeo na nafasi,kwa hiyo wayahudi wanaoishi uarabuni na iran ndo wako nyadhifa za juu?
Ukiwa humu lazima uwe na air defense zuri kichwani maana makombora na drone zinazotumwa humu some time ni sumu zinaweza kuondoka na weweMaana Kuna mtu katuambia iran wana makombola ya kutuma miaka mitatu πππππππππ€£π€£π€£
Sasa kwa matumizi Yao inamaana wanayo zaidi ya 100k
πππ€£π€£π
Haviwezi vita Kufika Miaka 5 unless Mataifa mengine yaingie kusaidia Israel. As of now Israel ana uwezo wa kupigana wiki kadhaa tu, ndio maana wao wanataka vita viishe Haraka na Iran anavirefusha.Samahani wakuu kwa siku Iran ina uwezo wa kuzalisha makombora mangapi kwa makadirio ? Na inaweza rusha makombora mangapi kwa siku endapo vita vikiwa vya muda mrefu tufanye makisio kama vita vikienda miaka zaidi ya mitano ?
Kama wametuma drone basi vyuma vipo njiani, usiniulize nimejuaje? Ndio formula ya mashambulizi ya lran hio jamaa hawabadiliki hawaDrones muda huu zimekua intercepted
Israel haina uwezo kupigana na adui mwenye nguvu miaka mitano.Samahani wakuu kwa siku Iran ina uwezo wa kuzalisha makombora mangapi kwa makadirio ? Na inaweza rusha makombora mangapi kwa siku endapo vita vikiwa vya muda mrefu tufanye makisio kama vita vikienda miaka zaidi ya mitano ?
Sawa mkuu ngoja tusubiri, hata drone zinaweza kuendelea kutumwa hata mara 10. Japo taarifa ya jeshi ilisema wave hii ya 19 ninya drones. Ngoja tusubiri ndio tujioneeKama wametuma drone basi vyuma vipo njiani, usiniulize nimejuaje? Ndio formula ya mashambulizi ya lran hio jamaa hawabadiliki hawa
Laki moja unaona mengi,nchi iliyojiandaa miaka 46 kupigana vita!?..au unadhani walianza kuyatengeneza mwaka jana?Maana Kuna mtu katuambia iran wana makombola ya kutuma miaka mitatu πππππππππ€£π€£π€£
Sasa kwa matumizi Yao inamaana wanayo zaidi ya 100k
πππ€£π€£π
Vita vipo Africa tu huko kwingine maigizo, week tu na makaburi ya halaiki kila konaIla hizi vita za kisasa bwana ni vichekesho yaani unamtangazia adui yako kuwa utashambulia saa ngapi na maeneo gani haya maendeleo ya vita za kisasa ya ajabu sana na ya kufurahisha
Pamoja mkuuSawa mkuu ngoja tusubiri, hata drone zinaweza kuendelea kutumwa hata mara 10. Japo taarifa ya jeshi ilisema wave hii ya 19 ninya drones. Ngoja tusubiri ndio tujionee