SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hivi wadau me niulize , kwa hiyo wakishambulia hivyo vinu vya nyuklia kuviharibu , hauwezi kuwa ndo mwanzo wa hivyo vinu kulipuka ? Maana mabomu ya nuclear yanakua yametunzwa humo ? au imekaaje hii mwenye ujuzi ?
 
Taarifa ilikuja kilichofanyika kabla ya kulipua. Nilipokua nachukua updates walisema kuna sijui makomandoo walienda kuharibu sijui kuchukua uranium kabla ya kulipua. Sikuelewa vizuri ile taarifa
 
Hivi wadau me niulize , kwa hiyo wakishambulia hivyo vinu vya nyuklia kuviharibu , hauwezi kuwa ndo mwanzo wa hivyo vinu kulipuka ? Maana mabomu ya nuclear yanakua yametunzwa humo ? au imekaaje hii mwenye ujuzi ?
Swali zuri ngoja wakujibu
 
Hivi wadau me niulize , kwa hiyo wakishambulia hivyo vinu vya nyuklia kuviharibu , hauwezi kuwa ndo mwanzo wa hivyo vinu kulipuka ? Maana mabomu ya nuclear yanakua yametunzwa humo ? au imekaaje hii mwenye ujuzi ?
Nijuavyo Mimi Iran alikuwa kwenye Process ya kupata Nuclear Bombs hakuwa nayo na kwa sababu vinu vimeharibiwa hiyo imetoka inabidi kama ana ubavu aanze upya na process hiyo inachukua miaka mingi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…