Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 1,113
- 1,688
Kama kama baadhi ya malori ni kama ya kubeba mchanga?IRANI WALIHAMISHA MZIGO FASTA KABLA FODO HAIJALIPULIWA ,HII NI PICHA YA SATELITE KABLA US HAWAJASHAMBULIA
IKIONYESHA MAGARI MAKUBWA YAKIHAMISHA MZIGO
Israel alikuwa hana uwezo wa GBU57 na alipania peleka watu wakalipue kabisa.Marekani falsafa zake ni kama Israel. Iran ikiruhusu shambulio la Marekani lipite, Marekani atakuja kufanya tena jambo la ajabu kwa Iran.
Kitendo cha kutaka kulipua vinu vya nuclear ni kitendo hatari sana! Hakina tofauti na mtu kutaka kutumia silaha za nuclear kukishambulia.
Ili ajiweke vizuri na awe na mustakabali mzuri hapo mashariki ya kati na kwa hao majirani ambao ni vibaraka, na ili amaanishe business kama anataka kufunga strait of Hormuz inatakiwa ni lazima apige hizo kambi! Tena avishushie vyuma kweli.
Hii itajenga hofu mashariki ya kati yote hapo na America ahisi moja kwa moja kuwa hayupo safe hapo mashariki ya kati.
Sambamba na hilo ashushe vyuma kwa wakati mmoja na Israel (Ikiwa kama tunazungumzia lugha ya kijeshi).
Wewe nenda ukaingie ndani.Wanaushahidi wowote wa kutimizwa lengo hilo
Wameondoa vifaa vyao kule kama wanajeshi wapo ni wachache sanaKwa hali jinsi inavyokwenda, naona Iran anaweza akapiga base kadhaa za US.
Anaweza akapiga base ya Syria, Jordan na Iraq.
Eti Iran hana AD na urus hawezi peleka🤣🤣yaani mtu yupo uko mwanerumango ameshiba mafenesi anakuja na hii commentIsrael alikuwa hana uwezo wa GBU57 na alipania peleka watu wakalipue kabisa.
Kwa sasa Israel anaweza fanya lolote lile maana Iran hana AD kabisa na Urusi hawezi peleka
Ngoja Iran wafunge strait of Hormuz ,ndio utaelewa vita hivi itakuathiri vipi , watanzania mna akili na upeo mdogo sana ,lita ya diesel au petroli ikiuzwa buku 10 tu ndio utajua .Kama unafuga kuku, unalima n.k, vita vitakuathiri vipi huku bara la giza?
Kumbe ni waoga kiasi hicho?!Wameondoa vifaa vyao kule kama wanajeshi wapo ni wachache sana
Kama intelligence ya Baba yako ilivyokuwa ndogo hadi mama yako aligongwa na wahuni na wewe ukazaliwa kwenye danguroIntelijensia ya Iran inazidiwa hata na ile ya Chief mkwawa, wanaintelijensia mbovu sana🥲
Mkuu hapo watanzania kosa lao ni lipi? Hatuna uwezo wowote wa kuzuia hiyo vita isiendeleeNgoja Iran wafunge strait of Hormuz ,ndio utaelewa vita hivi itakuathiri vipi , watanzania mna akili na upeo mdogo sana ,lita ya diesel au petroli ikiuzwa buku 10 tu ndio utajua .
Na kuna mahali nimesoma Iran wako mbioni kufunga hiyo strait
Kwa hiyo tutauziwa mafuta ya Iran kutokea indiaYeye India anatoa Iran
Zimetokea India kila mtu anajua. Ni wewe tu hujuiHizi B 2 Spirit bomber, zimesafiri masaa 37 bila kutua popote pale. Zimetimiza lengo lake kisha zikarudi zilipotoka.
Mkuu! Unadhani kwenye hii vita inayoendelea sisi Watanzania tutachangia nini kuzuia vita, au msaada wowote wa kijeshi.Ngoja Iran wafunge strait of Hormuz ,ndio utaelewa vita hivi itakuathiri vipi , watanzania mna akili na upeo mdogo sana ,lita ya diesel au petroli ikiuzwa buku 10 tu ndio utajua .
Na kuna mahali nimesoma Iran wako mbioni kufunga hiyo strait
Sio kweli, India anatoa mafuta Russia, Iraq, Saudi ArabiaYeye India anatoa Iran