SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Video footage: Israel muda huu inashambulia kwa makombora eneo na Tehran oil town
 

Attachments

  • 2025-06-22_20-50-48_0.mp4
    715.8 KB
Sababu ya Iran kutoshambulia kwa wingi kama mwanzo ni kuwa Ndege na Drone za Israel ziko angani muda wote hivyo wanashindwa kurusha.

Israel inawapiga hawataki wapumzike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…