SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kiongozi wa Iran anavuna uwoga wake na udini wake. Muda mrefu amekuwa akishauriwa na wataalam wake watengeneze nyuklia, yeye anasema uislamu hautaki kuwa na nyuklia.
 
we mwamba uropo mwingi saana , nafikiri unajaribu kukaa kimya ila unajikutaga huwezi. kama kuna kitu unatakiwa kujifunza zaidi ni kukaa kimya pale unapokuwa huna cha kuongea.
 
Hiyo queue ya kawaida ya kila siku kama yetu ya kutoka posta kuelekea mwenge. Wayahudi huko 60% wamekimbilia Cyprus
Nani kakwambia Iran ametulizwa?
Au unaongea mihemko?
Jana Iran si ameshambulia Israel na kuleta maafa?
Sasa Iran imetulizwaje?
Unaizungumzia Israel ambayo haifui dafu hadi imuite USA?
we Mtanganyika kwani wakitulizwa, wakitulizana, we unaathrika au unafaidika na nini??
 
Yemeni mapigano ya ardhini yalitokea,walikodiwa Al Qaeda wakashindwa Saudi Arabia ikapeleka jeshi waliuliwa sana kwa guerrilla tactics.
Wakarejesha jeshi nyuma.
Saudi Arabia walienda si kwa ajiri ya USA kwa manufaa Yao wenyewe.
Kumbuka Saudi wana mgogoro na iran.
Shia na shuni.
Shida Yao ndo hio.
Walienda kwa manufaa Yao wenyewe.
Zile vita walikufa watu zaidi ya 500,000 Yemen.
Wa youth, Saudi waliona ni tishio kwao. Coz wale ni shia na iran inawasapoti.
 
Lala !! Unalipwa?
Chondechonde Mkuu City Thunder OKC hawa makafiri wa msikitini na wenzao makafir wa kanisani wasikutoe kwa reli.Hapa mayahudi ya Kisemvule yanakufurahia ila kibao kikigeuka na yenyewe yatakubwekea kama wanavyobweka sasa waajemi wa Ikwiriri.

Huu uzi unaheshimika na unafuatiliwa sana sbb ya updates zako za uhakika zisizo na upendeleo.

Binafsi ktk huu uzi nasoma updates zako tu.

HONGERA na ASANTE kwa kutuhabarisha🙏🙏🙏
 
Mambo mrembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…