SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ndege Vita za Israel muda huu zipo kwenye anga la Syria na Iraq

Huenda muda mfupi ujao mashambulizi yakaanza tena huko Iran. Tusubiri
 
Maneno meeengi Pumba tupu we kweli mchichapori
 
Mambo ya mpira wa simba na yanga peleka kwenye page za michezo hapa ni vita tu
simba ni hao Iran ambao mpaka kufikia june 25 watakuwa wamepigika vya kutosha mkuu,za chini chini ni kwamba AYATOLLAH ameshakimbia nchi tayari na mapinduzi ya kijeshi yanaenda kutokea,kwani hali ya vita iran ni mbaya mbaya mno,june 25 itatoa majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…