SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Si kweli, Israel imeua raia wengi zaidi Iran kuliko Iran...
 
19:30Hrs saa za Afrika Mashariki, Iran imerusha Makombora 6 ya masafa marefu KULENGA KAMBI za KIJESHI ZA marekani zilizopo Qatar, kwa taarifa zaidi stay tuned

Updates: Inaripotiwa pia kushambuliwa kwa Kambi kadhaa za Us nchini Iraq.
Trump aitisha Kikao Cha Dharura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…