SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Waajemi kweli wameamua iwe mbwai, sabubu mtoto kautaka, hebu tuune hii battle itaishia wp.
 
Hao huwa wanashambulia vitu gani? kwa maana Iran ikipiga kombora 3 tu pal Tel Aviv asubuhi ni habari ya ulimwengu, huyu Israel anaipiga Iran kiasi hiko analenga nini?
Wanashambulia millitary facilities, kambi na taasisi zote zinazojihusisha na masuala ya kiusalama

Netanyahu muda mchache uliopita amesema wataendelea kushambulia mpaka malengo yao yatimie kikamilifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…