SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kama kuna mtu anadhani hii vita itaisha hivi karibuni anajidanganya,vita ndio karibu inaanza,kinachoendelea ni maandalizi ya hiyo vita tu, itachukua miaka mingi,si mmoja wala miwili.Nitakuwepo kuwakumbusha kobazi na kafiri
Vita vinaanzaje wakati mmoja anashambuliwa non stop kuanzia asubuhi mpaka asubuhi huku mwingine akishambulia kwa kuvizia tena usiku wa manane pasipo target ya kumlemaza adui yako kwenye mshono?
 
Kama kuna mtu anadhani hii vita itaisha hivi karibuni anajidanganya,vita ndio karibu inaanza,kinachoendelea ni maandalizi ya hiyo vita tu, itachukua miaka mingi,si mmoja wala miwili.Nitakuwepo kuwakumbusha kobazi na kafiri
Hii vita imekuwepo miaka zaidi ya 40, Israel alikuwa anamlia timing Iran, ampe kipondo cha maana
 
Kipi kibaya kakisema hapo au ulitaka aseme unachokipenda wewe? Jamaa yupo neutral usituaribie updates za uko tulia au ukichoka kalale kesho ujiunge na kobazi wenzako kwa mabishano zaidi
Asubuhi nilimpa habari ya wsj kuwa israel kaiomba Iran wamalize vita, Iran akakataa,yeye akabisha,jioni hii nimemwekea gazeti la israel likisema hivyo,bado ananyonga ulimi, yaani hata kuileta hiyo update hakutaka na aliiona, halafu anadai hayuko biased!!..si mnafiki huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…