Kindred Spirit
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 457
- 666
So kama huna picha ndo utume clip fake? Ushaambiwa no casualties kwenye kambi yenye wanajeshi takrivani 4000, akilini mwako unapata ujumbe gani?We unadhani utapata picha za makombora zilizo piga kambi?
Walitoa majeshi na vifaa since last week.So kama huna picha ndo utume clip fake? Ushaambiwa no casualties kwenye kambi yenye wanajeshi takrivani 4000, akilini mwako unapata ujumbe gani?
WaongoSo kama huna picha ndo utume clip fake? Ushaambiwa no casualties kwenye kambi yenye wanajeshi takrivani 4000, akilini mwako unapata ujumbe gani?
Hivi lengo la iran kwenye operation hii ilikuwa Nini?Kiko wapi!?
wanjiru wewe nafikili hujawajua vizuri tofauti kati ya iraq na iran. iraq alishawahi kua kibaraka wa marekani na ndio wakati wairaq wanapigana na iran.Iran ilimuonya muiraq kwa usaliti ule wa kutumiwa na marekani kupigana na irani kwa miaka 8.US aliweka kambi pale kwa ajili ya Iraq na Iran, Iraq ishajifia na sasa hivi Iran ndio inaelekea kibra
Pole ya nini bibie!?Pole
Oya, kuwa serious!Iran karusha makombora tena
Angalia Aljazeera wapo liveOya, kuwa serious!
Ukiona hivyo basi maumivu kule ni makali.Iran karusha makombora tena
Mbona ni majadiliano ya kawaida tuu.Angalia Aljazeera wapo live
Kumbe uchawa siyo bongo tu hata huko mambele upo, hapa naona Trump tu, utafikiri yeye ndiyo ametoa hiyo misaada.Announcement from the Israeli government:
Last night, Prime Minister Benjamin Netanyahu convened the cabinet together with the Minister of Defense, the Chief of Staff, and the head of the Mossad, to report that Israel had achieved all the objectives of Operation "Rising Lion," and even much more.
Israel has removed a dual immediate existential threat – both in the nuclear field and in the field of ballistic missiles.
In addition, the IDF achieved complete air control over the skies of Tehran, inflicted severe damage on the military leadership, and destroyed dozens of central Iranian government targets.
In the past 24 hours, the IDF has also severely struck government targets in the heart of Tehran, eliminating hundreds of Basij operatives - the terrorist regime's suppression mechanism - and eliminating another senior nuclear scientist.
Israel thanks President Trump and the United States for their defense support and participation in eliminating the Iranian nuclear threat.
In light of the achievement of the operation's objectives, and in full coordination with President Trump, Israel agreed to the president's proposal for a bilateral ceasefire.
Israel will respond forcefully to any violation of the ceasefire.
Israeli citizens must continue to adhere to the Home Front Command's instructions until full compliance with the ceasefire is confirmed.
Our hearts go out to the families who lost their loved ones and we send wishes for a full recovery to the injured.
In Operation "Rising Lion," the State of Israel achieved great historical achievements and placed itself on a par with the world powers.
This is a tremendous success for the people of Israel and its fighters who removed the two existential threats to our state, and ensured the eternity of Israel.
The Prime Minister will make a statement later today.
Sasa mbona wanakataa.View attachment 3381182
Atomic Energy Organization of Iran chief Mohammad Eslami:
We had made prior arrangements to rebuild our nuclear program, and we are currently assessing the damages.
Hii itategemea mikataba watakayowekeana kwenye ceasefireItakuwaje sasa, hii regime mbona wameiacha?
Amani itatokea wapi kwa Muisrael kama Ayatollah regime ikiendelea kushikilia nchi?
Kiingereza kigumu kimtindo mkongwe!Sasa mbona wanakataa.
Na kusema Vinu vipo salama
Hawezi ripua kwa sababu madhara yatawapata na wapaleatine na nchi jirani za kiarabu kutokana na direction ya upepoMakombora yameanza tena kudadeki iran alisahau kulipua Vinu vya nyuklia vya Israel