SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hivi maridhiano kwenye hii vita ni yapi? wanasema tu ceasefire je wameridhiana kipi?

Je? Iran itaendelea na urutubishaji wa nuclear? jibu ni ndio, na wameangaza hawataki tena ushirikiano na IAEA... wamesema pia wanaongeza zaidi urutubishaji kuliko mwanzo, hii imekaaje?
 
Mkuu nimedanganya au unajidanganya!?
Ripoti za afisa wa IAEA Mr .Grossi zilisema toka mwanzo Iran Haina mpango wa kuunda nuke weapons.
Na hadi ripoti zikatolewa,kwanini Israel iliishambulia Iran ikiwa katika mazungumzo ya nuclear na IAEA pamoja na USA??
Unajidanganya mwenyewe mpango mkuu wa Israel na USA ilikua kufanya regime change na Kila walipokua wakishambulia walilitamka hilo,sio tu hilo walikomaa na kuchochea maneno kuwa raia wa Iran watoke nje kuandamana dhidi ya utawala wa kishia tangu June 13.
Umechagua kujidanganya.
 
Ipo wazi Netanyahu analaumiwa na wananchi pia baadhi ya viongozi kwenye serikali yake kwa kuanzisha vita ambayo imeleta madhara kwa wananchi, vifo, na mali kuharibiwa, huduma nyingi kusitishwa , gharama ya maisha kupanda na hofu kuongezeka....

Hivyo kwa msukumo wa ndani Netanyahu lazima tu angemtumia Trump kuomba ceasefire....

Iran hataki ceasefire... kiukweli Iran inaimaliza Israel... Israel wanaweza kutishia kutumia nuke..
 
Hapa anakubali vinu vya nuclear vilipigwa na vimezurika
Iran hajakataa vinu vyao kupigwa, ila statement yao official walishatoa Uranium humo, kitu ambacho kipo proved na kutokuwepo leak yoyote vilivyopigwa.

Ubishi uliokuwepo ni wa kinu kimoja tu cha Qom ambacho kilikua chini ya Ardhi kama Bomu la Usa lilifikia humo ama lilishindindwa kufikia (with or without Uranium)
 
Maneno ya kushindwa haya.
Si walisema bado Kuna targets inside Tehran na hawataacha hadi wamalize target zote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…