SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Moyo wangu umesuuzika .. cease fire ime collapse kwahiyo ni mwendo wa kunyukana. Sasa furaha yangu imerejea kwa kazi
 

Attachments

  • Screenshot_20250624-143339~2.jpg
    90.7 KB · Views: 20
Katika mazungumzo ya Iran vs Urusi, Putin alimwambia FM wa iran kuwa Urusi ilifanya mazungumzo na rais wa USA, PM wa Israel, rais wa Emirates, na rais wa Iran kuhusu utatuzi wa vita inayoendelea.

Na alimshauri FM, watashauriana namna ya kutatua tatizo lililopo kwa sasa, ingawa wote ni wahanga; yeye akiwa na Ukraine huku Iran akiwa na Israel.

Inawezekana ata Marekani kushauri pande mbili kusitisha vita, imetokana na majadiliano yaliyofanyika, au baada ya kuona tayari ameshalipua maeneo yenye nyuklia.​
 
Lol!
Umeniandalia KITINI.
 
nilikuwa na angalia Al-Jazeera
Israel wanailaumu Irani kwa kuvunja makubaliano ya ceasefire,
Irani nao wamekanusha kuwa siyo wao walio rusha hizo missile kwa maana hiyo hawakivunja makubaliano
Mkuu iran sio rahisi kukubali hivi kirahisi.
Israel wameua wanajeshi wengi kule mpk viongozi.
 
israel ilipokua inatarget wale viongozi wa kijeshi ambao wapo maeneo ya kiraia kombora likipigwa walipo hao lazima waliopo around nao wafe
Tumeona ee iran SI rahisi kusitisha.
Maana na yeye kapata madhara makubwa.
Ingekuwa mambo shwali kama wanavyodai hapo wairan wa namtumbo. Angeacha tuu
 
Muajemi mshenzi sana ana kutumia kipondo heavy ndio ana tangaza kukubali ceasefire
 
Nyoko eti ata mimi natengeneza Ebu kojoa kalale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…