Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,264
- 2,910
πππππππ Yani ile video haina kiashiria chochote cha kutisha mbaya zaid haielewekiMkuu video nimeangalia kabla, pia kuhusu tahadhali hasa ya gari ambalo linalipuka ni muhimu sababu si wote hupenda footage za aina hiyo. Kwenye gari kuna watu/mtu, sio wote huweza kuhimili kuona video ya hiyo
Mkuu gari lililokua linaendeshwa limelipuka ghafla kwa bomu, inasemekana ni Assassination ya mmoja wa makamanda wa Iran. Hapo bado kipi hakijaeleweka?πππππππ Yani ile video haina kiashiria chochote cha kutisha mbaya zaid haieleweki
Ila asante kwa taarifa
Zimeshawasili hizo ndege!?Iran Sasa inazikaribisha ndege za Israel F-35 baada ya kupokea mziko wa kwanza wa J10C fighter jets zenye rada ya kisasa AESA na PL 15 Missile. KWA ingizo la kwanza zinatakiwa 50. Hizi ni zile ambazo ziliiidungua ndege ya kisasa kabisa ya India waliyoinunua kutoka France wakati wa mnyukano wa India vs Pakistan.
Tayari. Israel analalamika. " China is arming Iran"Zimeshawasili hizo ndege!?
Aiseee hizi habari unazipata wapi mkuu!?Tetesi
Baada mpango wa kubadilisha watawala Iran ( Regime change), US na ISrael wanakuja na mpango wa kuivunjavunja vipande Iran ( Dismantling)
Bado Iran hajanunua hizo fighter jets za china, lakini wanapanga kufanya hivyo, wanaweza kununua hizo za China na kuongezea za Russia Sukhoi-35Zimeshawasili hizo ndege!?
Saizi tunataka kipondo no cease fire π₯ π₯ π₯ π π mbabe ajulikaneπ₯
Mkuu wa Mossad David Barnia na Netanyahu wamefanya kikao muda mchache uliopita, mkuu huyo ametoa taarifa kuwa bado wana operation kubwa ndani ya Iran na kumuabidi Netanyahu kuwa itaefanikiwa
π₯π₯π₯π₯
Assassination imefanyika Beirut Lebanon muda mchache uliopita, inasemekana ni mmoja wa makamanda wa Iran alitegewa bomu kwenye gari lake. Taarifa zaidi zitakuja
View attachment 3392906
π₯π₯π₯
CCTV footage: assassination iliyofanyika, gari linaonekana likilipuka. Ni kamanda gani na ni nani bado taarifa kamili haijatoka. Tusubiri taarifa kamili
Video inaogofya.(chukua tahadhali wakati wa kuangalia)
π€£π€£π€£π€£Manina ila wao kua armed na USA ni sawaTayari. Israel analalamika. " China is arming Iran"
Mkuu hii taarifa si ya kweli.Morocco yapokea maiti za wanajeshi wake wawili waliouwawa na makombora ya Iran huko Israel. Naona na wenyewe walikuwa wanaongeza NGUVU.
View attachment 3393066
π₯π₯π₯
Assassination imefanyika Beirut Lebanon muda mchache uliopita, inasemekana ni mmoja wa makamanda wa Iran alitegewa bomu kwenye gari lake. Taarifa zaidi zitakuja
View attachment 3392906