Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,264
- 2,910
Hii habari uliiona? Mzee wa update za upande uleeπ₯
Netanyahu amemkaimisha madaraka kwa muda waziri wa ulinzi Yisrael Katz, kwa kipindi atachokua marekani. Inasemwa mara ya mwisho kufanyika hivi ndio shambulio la kumuua kiongozi wa Hezbullah Hassan Nasrallah lilitokea
Pia waziri wa sheria Yariu Lavin ndio ataendesha baraza Kama mwakilishi wa Netanyahu
View attachment 3396621
Hiyo habari nimeiona toka jana mapema Sana.Hii habari uliiona? Mzee wa update za upande uleeView attachment 3396628
Ukurasa wa 3 wa ili gazet Kuna jambo,,π₯
Gazeti la Kesho la Tehran Times limemnukuu msemaji mwandamizi wa jeshi la Iran kuwa endapo Israel wataishambulia tena Iran basi hakutakua na mstari mwekundu
View attachment 3396840
Hii ni habari ya kujitafutia faraja na kujipa moyo tu hakuna ukweli hapo hata picha tu hakuna wengine tutahakikisha vipi? Maana hata vita yenyewe imeisha Wiki mbili na zaidi leo hii mnakuja na vitaarifa uchwara!!!Hii habari uliiona? Mzee wa update za upande uleeView attachment 3396628
We kichaa nini utawaeleza wenye akiliHii ni habari ya kujitafutia faraja na kujipa moyo tu hakuna ukweli hapo hata picha tu hakuna wengine tutahakikisha vipi? Maana hata vita yenyewe imeisha Wiki mbili na zaidi leo hii mnakuja na vitaarifa uchwara!!!
Hata hivyo mnaruhusiwa kujipa moyo kwa taarifa fake zitakazowapa moyo!!!
Ka mwili kamerudirudi zile siku 12 za mchakamchaka kizee kilianza kuzorotaπ₯
Netanyahu akielekea marekani kwa ajili ya kikao na Trump, nini kitajiri tusubiri