City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Wapunguze kuimba taarabuπ₯
Waziri wa ulinzi wa Israel, Yisrael Katz anasema kuwa Khameni amesaini hati ya kifo cha serikali ya Iran. Anasema kuwa safari hii Netanyahu atafanya jambo kubwa zaidi
View attachment 3397265
Kama mazungumzo yamefikia hapo basi Iran silaha atapata kutoka China.π₯π₯
Mchambuzi wa masuala ya kijeshi China, ametoa ushuri kwa Iran kuhusu kununua ndege Vita aina ya J10-C.
China wanasema ndege za J10-C hazitakua na maan kubwa kwa Iran sababu jeshi la anga la Israel linaendana na jeshi la anga la marekani.
Anasema kuwa J10-C zina uwezo wa kupambana na ndege Vita aina ya F-16, lakini ni ngumu kupambana na F-35. Hivyo ili Iran waweze kupambana na F-35 na kuweza kuziangusha, wanahitaji kununua anti-stealth rarar, KJ1000 AWACS aircraft, na pia kupata access ya beidou satellites data.
View attachment 3397244
Left right left right kwa namba walivyokuwa wanatembeaπ₯
Video footage: Netanyahu ameingia Washington DC muda mchache uliopita
Hii chuma ikianza tena, hitimisho pekee ni uchebe Khamenei apelekwe ununioKama mazungumzo yamefikia hapo basi Iran silaha atapata kutoka China.
Iran ameshafungia GPS kufanya kazi nchini kwake, sasa wanatumia beidou ya China..π₯π₯
Mchambuzi wa masuala ya kijeshi China, ametoa ushuri kwa Iran kuhusu kununua ndege Vita aina ya J10-C.
China wanasema ndege za J10-C hazitakua na maan kubwa kwa Iran sababu jeshi la anga la Israel linaendana na jeshi la anga la marekani.
Anasema kuwa J10-C zina uwezo wa kupambana na ndege Vita aina ya F-16, lakini ni ngumu kupambana na F-35. Hivyo ili Iran waweze kupambana na F-35 na kuweza kuziangusha, wanahitaji kununua anti-stealth rarar, KJ1000 AWACS aircraft, na pia kupata access ya beidou satellites data.
View attachment 3397244
Pengine makombora ya jana kutoka Yemen yamepitq nae Netanyahu mbona kizaaa kinene uko Israel..π₯
Netanyahu amemkaimisha madaraka kwa muda waziri wa ulinzi Yisrael Katz, kwa kipindi atachokua marekani. Inasemwa mara ya mwisho kufanyika hivi ndio shambulio la kumuua kiongozi wa Hezbullah Hassan Nasrallah lilitokea
Pia waziri wa sheria Yariu Lavin ndio ataendesha baraza Kama mwakilishi wa Netanyahu
View attachment 3396621
Kaungana na balozi w USA kama kinga kwake!!π₯
Netanyahu akielekea marekani kwa ajili ya kikao na Trump, nini kitajiri tusubiri
Yupo USAPengine makombora ya jana kutoka Yemen yamepitq nae Netanyahu mbona kizaaa kinene uko Israel..
Iran anataka ndege ili akatengeneze zake lengo sio kuzitumia kivita !!π₯π₯
Mchambuzi wa masuala ya kijeshi China, ametoa ushuri kwa Iran kuhusu kununua ndege Vita aina ya J10-C.
China wanasema ndege za J10-C hazitakua na maan kubwa kwa Iran sababu jeshi la anga la Israel linaendana na jeshi la anga la marekani.
Anasema kuwa J10-C zina uwezo wa kupambana na ndege Vita aina ya F-16, lakini ni ngumu kupambana na F-35. Hivyo ili Iran waweze kupambana na F-35 na kuweza kuziangusha, wanahitaji kununua anti-stealth rarar, KJ1000 AWACS aircraft, na pia kupata access ya beidou satellites data.
View attachment 3397244
Inawezekana dili kukamilika, maana Leo mijadala mbalimbali nchi Iran ni kuhusu Russia kushindwa kuwauzia Iran zile ndege Vita za Sukhoi 35, alafu hapo hapo wanakamilisha dili la kuwauzia India ndege Vita ambapo ni za kisasa zaidi za S-57E na advanced Su-35MKama mazungumzo yamefikia hapo basi Iran silaha atapata kutoka China.
Urusi na Iran hawana urafiki kamili kihivyo,naona bora hata China anaweza akatimiza kuliko Iran.Inawezekana dili kukamilika, maana Leo mijadala mbalimbali nchi Iran ni kuhusu Russia kushindwa kuwauzia Iran zile ndege Vita za Sukhoi 35, alafu hapo hapo wanakamilisha dili la kuwauzia India ndege Vita ambapo ni za kisasa zaidi za S-57E na advanced Su-35M
Ni kweli, walizima GPS na wanatumia beidou ya china.Urusi na Iran hawana urafiki kamili kihivyo,naona bora hata China anaweza akatimiza kuliko Iran.
Nikichukulia mfano wa 1980 Iran-Iraq war China alimsaidia Iran kiintelijensia na silaha,hivyo sidhani kama hapa atashindwa kumuuzia silaha nzuri.
Pia naskia wameacha kutumia satellite za western sasa hivi wanatumia beidoui ya China.
Urusi bana mie SIJAWAHI kumuamini kwa Iran tangu day one.Ni kweli, walizima GPS na wanatumia beidou ya china.