SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

πŸ’₯
Waziri wa ulinzi wa Israel anasema hakutakua tena na ndege za kila siku zinazoenda na kutoka Iran, itakua kama ilivyo Lebanon Leo hii.
Anasema hataachia mafanikoo waliyopata ndani ya Iran, pia ameshaweka mpango wa kuendelea kutawala anga la Iran
 
πŸ’₯πŸ’₯
Meli vita ya Marekani kubwa kabisa duniani aina ya Gerald Ford, ikiwa na ndege Vita kadhaa imewekwa karibu na Israel
 

Attachments

  • 20250707_221350.jpg
    130.7 KB · Views: 22
πŸ’₯
Media za nchini Iran zinaripoti kuwa Israel inataka kuendelea dhidi ya Iran, Ila Trump anapinga.
 
πŸ’₯
Media nchini Iran zinaripoti kuwa Iran wanalia kuhusu usaliti wa Russia kwa sababu ya ukimya wake kwa kilichotokea dhidi ya Israel
 
πŸ’₯
Bado anga la Iran halijafunguka usiku, hivyo ni mchana tu ndio linafunguka kwa international flights, hiyo ni kutokana na kuharibiwa kwa radars hivyo kuweka hatari nyakati za usiku
 
πŸ’₯
Trump ameulizwa kuhusu palestina je kutakua na suluhisho la kuundwa serikali mbili, Trump anasema hilo swali aulizwe Netanyahu
 
πŸ’₯
Gazeti la kesho la Tehran Times limemnukuu raisi wa Iran akisema kuwa wapo tayari kwa mazungumzo lakini inawawia vigumu kuiamini tena Marekani
 
πŸ’₯πŸ’₯
Trump alipoulizwa kuhusu vita na Iran imekwisha alisema yeye kwa mtazamo wake anaona imeisha Ila anayepaswa kujibu hili swali ni Netanyahu

Netanyahu alipojibu kama vita ya Iran imekwisha, amejibu kuwa unapoondoa uvimbe unaweza kurudi tena hivyo unatakiwa kucheck mara kwa mara ili kuhakikisha huo uvimbe haurudi tena.
 
Iran inasisitiza hakuna hata kombora moja kutoka kwenye majiji yake ya chini ya ardhi ya Silaha lililotumika katika vita vya siku 12 iliyopita.
Katika siku ya 11 Iran ilitumia kombora jipya linaitwa khaybar shekan "flyingsnake" lina kilo 750 hili kombora liliwatisha sana Israel na Us siku ya 12 wakasema vita isitishwe
 
Israel na washirika wake walaaniwe kwa wanachokifanya katika mataifa yanayojikongoja ki-technology hasa mashariki ya kati, wanataka waendelee wao tu na si vinginevyo..... Mara utasikia Magaidi, mara ohooo....
 
πŸ’₯
Shirika la ndege la Emirates halitakuwa na safari za ndege za Iran hadi July 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…