SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Netanyahu: Hakuna shinikizo la Marekani kwa Israel. Tunataka kitu kimoja huko Gaza, lakini sio kwa bei yoyote. Tunataka mateka wetu waachiliwe na magaidi wa Hamas watokomezwe!!!!!
 

Attachments

  • Suppressed_News_BREAKING_Israeli_PM_Netanyahu_s_statement_in_Washington.mp4
    25.3 MB
Akili za kijinga kabisa kila wakati unafikiri kufirwa tu wala hufikirii vitu vingine!!! Uko bizΔ™ kujadili Pet issues za ushoga tu wala huna akili ya kujadili vitu vya msingi!!!
Here we go again. a pot calling kettle BLACK!!
 
Netanyahu: Hakuna shinikizo la Marekani kwa Israel. Tunataka kitu kimoja huko Gaza, lakini sio kwa bei yoyote. Tunataka mateka wetu waachiliwe na magaidi wa Hamas watokomezwe!!!!!
Si Natenyahu alikuwa anaitambia Dunia kwamba atawatafuta na kuwaokoa mateka wote WA Israel waliotekwa na Hamas, sasa kikowapi aibu tupu, wanakwenda kuwaomba Hamas yahishe!!

Natenyahu amejaa majivuno mengi na dharau juu!! Bunge la Israel lifanye mpango/hima kumuondoa Natenyahu madarakani bila ya kuchukuwa hatua hiyo basi Waisrael wakae wakijuwa kwamba akiendelea kubaki madarakani hilo lita i-cost Israel an arm and leg.
 
Netanyahu ni mtu na nusu kutoka mateka 251 mpaka sasa wamebaki 50 si haba yuko vizuri sana.
Hamas ndiyo basi tena kwa kipondo kinachoshushwa huko Gaza kinatosha kuwafanya wewe marehemu wasipoangalia.

Kwa israel hakuna kama BIBI Netanyahu anajua sana kushika pabaya magaidi waulize Ismail Hanniyeh,Hassan Nasrallah,Yahya Sinwar,Mohamed Dief bila shaka watakupa ukweli!!! Kwa taarifa yako tu Netanyahu alipewa tenda ya kumaliza vita hii ndiyo atoke madarakani na kazi hiyo alipewa na wananchi wa Israel wenyewe!!!!
 
πŸ’₯
Wabunge wa Tehran wameandika barua kwa Raisi Wa Iran, wakisema kuwa mahojiano aliyoyafanya na mwandishi wa habari wa Marekani yanavunja umoja wa kitaifa. Wanasema anapaswa kuwa sauti ya wapiganaji na kujivunia watu wa Iran
Wanasema kuwa watu walitarajia yeye aongelee uthabiti na nguvu ya Iran na sio kuongelea majadiliano na mshikamano kwa Marekani. Wanasema alichoongea kinavunja umoja wa kitaifa
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Mlipuko mkubwa umetokea eneo la chitgar, Tehran
Ambulance kadhaa zinaelekea eneo hilo
 
Hii ndio video we popoma?
Mkuu wapi nimesema hiyo ni video?? Nimeweka habari, nikaweka na picha.

Kukiwa na video naanzaga kwa kuandika "video footage"

Hapo nilipoweka hiyo habari sikuwa na video, video nimeiweka sasa hivi angalia comment ya juu ya hii
 
πŸ’₯
Mmoja wa waandishi wa habari wa jeshi la Iran anasema kuwa Israel wanatumia majini na uchawi wa sayansi kufanya mashambulizi na assassination kwa viongozi wa Iran. Alimnukuu Ayatollah kuwahi kusema pia kitu kama hicho

Anasema pia wakati wa Vita hivi karibuni, pale Tehran waliokota baadhi ya karatasi ambazo zilikua na vipande vya alama za kichawi zenye maneno ya kiyahudi
 
πŸ’₯πŸ’₯
Taarifa isiyo rasmi inasema assassination attempt imefanyika kwa general Abdilrahim Mousavi

Nb: si taarifa rasmi ni tetesi kutoka kwa watu wanaoishi hayo maeneo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…