City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Huyu jamaa naona anaendesha vita kukwepa tuhuma zake za ufisadi na kuondoka madarakani.π₯
Waziri wa ulinzi wa Israel anasema, ikiwa wanarudi tena, watarudi kwa nguvu kubwa zaidi
Anasema Israel ina mkono mrefu unaofika Tehran na popote ndani ya Iran, hivyo hakuna popote pa kujificha ndani ya Iran
View attachment 3400517
Ngoja tusubiri mkuu, maana inaonekana anapenda vitaHuyu jamaa naona anaendesha vita kukwepa tuhuma zake za ufisadi na kuondoka madarakani.
Soon ataiangamiza Israel asipoangalia.
Yani matendo yake ya kutapa tapa sana,hata Golda Meir ni mwanamke na alimshinda kwenye busara na hekima ya uongozi.
Huyu ataliangamiza taifa.
Hizo vita ni kujibakisha madarakani tu na kukwepa tuhuma za ufisadi.Ngoja tusubiri mkuu, maana inaonekana anapenda vita
Hata hivyo Netanyahu akiamua yeye hawezi kuwa na sauti ya kukataaHizo vita ni kujibakisha madarakani tu na kukwepa tuhuma za ufisadi.
Na ukitizama sasa hivi unaona kabisa kaka matendo yake ni ya mtu desperate kabisa.
Nchi hata iwe na uchumi mkubwa vipi haiwezi kuanzisha vita juu ya vita.
Anapigana vita tatu kwa wakati mmoja.
USA yenyewe haijawahi fanya hivyo.
Anaiangamiza nchi huyu kwa kutapatapa kwake,na Israel raia walioondoka wanasema hawana mpango wa kurudi.
Nani hawezi kuwa na sauti ya kukataa mkuu!?Hata hivyo Netanyahu akiamua yeye hawezi kuwa na sauti ya kukataa
Wayahudi huwaambii kitu kuhusu Netanyahau, na kuwa wanasiasa wa Israel Netanyahau wanamuona mchumba... Omba sana hao wasishike hayo madarakaHuyu jamaa naona anaendesha vita kukwepa tuhuma zake za ufisadi na kuondoka madarakani.
Soon ataiangamiza Israel asipoangalia.
Yani matendo yake ya kutapa tapa sana,hata Golda Meir ni mwanamke na alimshinda kwenye busara na hekima ya uongozi.
Huyu ataliangamiza taifa.
Raia wengi hawampendi Netanyahu na wameshaandamana sana kumuondoa.Wayahudi huwaambii kitu kuhusu Netanyahau, na kuwa wanasiasa wa Israel Netanyahau wanamuona mchumba... Omba sana hao wasishike hayo madaraka
Kuna chama kunaitwa LIKUD haifai yaani NI wabinafsi na wanaroho mbaya kama wangekuwa madarakani wasingesita kutumia hata nuke ππππππWayahudi huwaambii kitu kuhusu Netanyahau, na kuwa wanasiasa wa Israel Netanyahau wanamuona mchumba... Omba sana hao wasishike hayo madaraka
Israel ndio nchi pekee ya kidemokrasia na watu wake wana uhuru wa kutoa maoni hapo middle east bila hofu ya kwenda Jela.Raia wengi hawampendi Netanyahu na wameshaandamana sana kumuondoa.
Maandamano mengi tumeyashuhudia yakitaka Netanyahu atoke madarakani.
Nahisi Kuna watu wana interest naye huyo Netanyahu.
Ila anaiangamiza nchi.
Twende kwa ayatollahIsrael ndio nchi pekee ya kidemokrasia na watu wake wana uhuru wa kutoa maoni hapo middle east bila hofu ya kwenda Jela.
Israel wanamfumo bora kabisa wa Siasa na unapaswa kuigwa kama mfano hawa kwa mataifa ya Kiafrika.
Israel wana mfumo wa kisiasa ambao mshindi hachukui kila kitu badala yake lazima uunde Serikali ya kitaifa kuongoza nchi, kwa hiyo hata asilimia 30% wakiwa hawamtaki Netanyahau atachukua asilimia zake na kwenda kutafuta asilimia 70% zingine na vyama na makundi mengine, na pia sio kwamba kuna mtu lazima awe waziri Mkuu ila mtu atakayekuwa wa kwanza kupata idadi kubwa ya watu ambao wako tayari kuunda Serikali
Sie tunaona na hiyo Israel tunaifuatilia.Israel ndio nchi pekee ya kidemokrasia na watu wake wana uhuru wa kutoa maoni hapo middle east bila hofu ya kwenda Jela.
Israel wanamfumo bora kabisa wa Siasa na unapaswa kuigwa kama mfano hawa kwa mataifa ya Kiafrika.
Israel wana mfumo wa kisiasa ambao mshindi hachukui kila kitu badala yake lazima uunde Serikali ya kitaifa kuongoza nchi, kwa hiyo hata asilimia 30% wakiwa hawamtaki Netanyahau atachukua asilimia zake na kwenda kutafuta asilimia 70% zingine na vyama na makundi mengine, na pia sio kwamba kuna mtu lazima awe waziri Mkuu ila mtu atakayekuwa wa kwanza kupata idadi kubwa ya watu ambao wako tayari kuunda Serikali
Yaani wew unapoelekea utaleta hadi habari za i ajali za barabarani uko iran alaf useme assassination attemptπ₯
Msemaji wa idara ya fire na uokoaji Tehran, anasema mlipuko umetokana na Gas(Gas explosions)
Nilijua tuh hawa Israel watakua wanga na wachawi wabobeziπ₯
Mmoja wa waandishi wa habari wa jeshi la Iran anasema kuwa Israel wanatumia majini na uchawi wa sayansi kufanya mashambulizi na assassination kwa viongozi wa Iran. Alimnukuu Ayatollah kuwahi kusema pia kitu kama hicho
Anasema pia wakati wa Vita hivi karibuni, pale Tehran waliokota baadhi ya karatasi ambazo zilikua na vipande vya alama za kichawi zenye maneno ya kiyahudi
Mkuu hii habari kwa ambao wapo hilo eneo wanasema ni drone imeshambulia, lakini mamlaka ya zimamoto wanasema ni gas explosion, mm unataka nibishie mamlaka? Au ilibidi nisiripoti walichosema mamlaka ya zimamoto?Yaani wew unapoelekea utaleta hadi habari za i ajali za barabarani uko iran alaf useme assassination attempt
Mnachuki hadi mnakuwa vipofu wa Hekima...Sie tunaona na hiyo Israel tunaifuatilia.
HUWEZI ukasema Israel ni nchi ya kidemokrasia ilhali 80% ya raia hawataki kiongozi aliye madarakani(Netanyahu),lazima hapo kutakua Kuna manipulation inafanyika yeye kubaki uongozini.
HUWEZI ukasema Israel ni nchi ya kidemokrasia ilhali iliwalazimisha Jews orthodox kujiunga na jeshi ilhali ni kinyume na utaratibu wa orthodox Jews.
Tunaona na tunaifuatilia sisi sio watu wa kumeza nooop.
Embu acha kuruka ruka kama maharage jikoni.Mnachuki hadi mnakuwa vipofu wa Hekima...
Siasa ya Israel ni mfano wa kuigwa na namna walivounda mfumo wa siasa wamehakikisha it is impossible or near to impossible kwa chama kimoja kuwa na majority bungeni badala yake kila chama kina fursa ya kuwa ndani ya serikali kama coalition na chama kimoja ambacho kinaweza kuwa kambi kuu ya upinzani bungeni.
Serikali ya sasa ya Israel inaundwa na vyama zaidi 4. Serikali iliyopita ya Israel moja ya vyama vilikuwa vyama vya Waislamu/waarabu