SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Mkuu mashambulizi yaliyofanyika yameharibu facilities mbalimbali ndani ya hizo nuclear plants, ikiwemo kiasi kikubwa cha uranium iliyorutubishwa

Hizo facilities ili kuja kutengenezwa tena na kukaa sawa ili waendelee na nuclear programs ndio inahitaji muda na pesa nyingi
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒsawa,lakini ni bora useme hujui nini kimeharibiwa maana sio kosa wala ujinga
 
Za Iran zilikua Khordak-15 na Bavar-373,s300 zilifeli mwaka Jana zilipokua zinazuia shambulizi la Israel la ndege kwa Iran.
Kwa China naamini silaha zao nzuri hawawezi kumuangusha mtu wamethibisha hilo kwa Pakistan.

Sio tu Iran hata EU na USA hawakuamini namna Iran alivyo advance katika jeshi.
Walidhani Iran hii ni kama Iran Ile ya 1980s.
Israel haijioni salama tena lazima tuu ahangaike kumuangusha Iran.
 
Hio uranium iliyoharibika haikuvuja?
 
Wameshambulia nuclear facilities, katika mashambulizi hayo Kuna kiasi fulani Cha uranium hakikuharibiwa. US na Israel Wana estimate Kama 20% ya enriched uranium
Halafu..unawezake kulipua enriched uranium na kisiwe na blast?au hata dalili za blast ikiwepo tetemeko la ardhi au nuclear fallout kwenye openings za facility?tena 20% ya kilo 60 maana yake 20kgs za enriched atoms zilipuke na pawe kawaida tu????
 
Halafu..unawezake kulipua enriched uranium na kisiwe na blast?au hata dalili za blast ikiwepo tetemeko la ardhi au nuclear fallout kwenye openings za facility?tena 20% ya kilo 60 maana yake 20kgs za enriched atoms zilipuke na pawe kawaida tu????
Mkuu kulipuliwa enriched uranium hakusababishi blast wala tetemeko la ardhi
 
Atakayekujibu unitag
Hayo ni majibu ya Gemini maana kwa uelewa wetu tusingepata jibu
Ila kasema inawezekana kulipua bila mlipuko ila hatari pekee ni kusambaa kwa material ya radiation, kama utapata uvivu wa kusoma

Recent news (from June/July 2025) indicates that the United States, along with Israel, has conducted airstrikes on Iranian nuclear facilities, including those involved in uranium enrichment.
However, these strikes were conventional military attacks using powerful bombs (like "bunker busters" and Tomahawk missiles) designed to destroy or severely damage the physical infrastructure of the enrichment facilities. They were not attempts to "explode" the enriched uranium itself in a nuclear detonation.
Here's why you can't "explode" enriched uranium without a blast, even in this context:
* Nuclear Detonation vs. Conventional Attack: A nuclear detonation is a specific event where a supercritical mass of fissile material (like highly enriched uranium or plutonium) undergoes an uncontrolled chain reaction, releasing immense energy in the form of a massive blast, heat, and radiation. The US strikes on Iran were designed to destroy facilities, not trigger nuclear chain reactions.
* Enrichment Facilities Don't Explode Like Bombs: Uranium enrichment facilities contain centrifuges that separate uranium isotopes. While they contain enriched uranium, it's typically in gaseous form (uranium hexafluoride) and in quantities and configurations that are not conducive to a nuclear explosion. Damaging these facilities with conventional bombs would scatter the material, potentially causing chemical hazards (e.g., from uranium hexafluoride reacting with moisture) and local contamination, but it would not initiate a nuclear chain reaction or a nuclear blast.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒsawa,lakini ni bora useme hujui nini kimeharibiwa maana sio kosa wala ujinga
Mkuu hili mimi na wewe wote hatujui kipi kimeharibiwa, lazima tutasikiliza wanaohusika nini watasema.

But ukiachana na hilo la kusikiliza wanaohusika, tunaweza pia kutumia akili yetu kuwa makombora ya tani yaliyoshushwa kutoka kwenye B-2 bomber, unahisi uharibifu utakua ni kidogo?
 
Uharibifu utakua mkubwa lakini haina ulazima kua uharibifu umetokea kwenye focal point ya facility.
Watu wawili wakipigwa risasi kwa kutumia bunduki moja,mmoja akapigwa ya bega mwingine ya kichwa watapata madhara tofauti kutokana na mahali walipojeruhiwa japo hio risasi ina nguvu sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…