City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Madhara pia hutegemea na level ambayo urutubushaji umefikia, Iran walifikia 60%Ikoje kwani,waweza twambia mkuu!!!
Netanyahu ni mtu na nusu kutoka mateka 251 mpaka sasa wamebaki 50 si haba yuko vizuri sana.
Hamas ndiyo basi tena kwa kipondo kinachoshushwa huko Gaza kinatosha kuwafanya wewe marehemu wasipoangalia.
Kwa israel hakuna kama BIBI Netanyahu anajua sana kushika pabaya magaidi waulize Ismail Hanniyeh,Hassan Nasrallah,Yahya Sinwar,Mohamed Dief bila shaka watakupa ukweli!!! Kwa taarifa yako tu Netanyahu alipewa tenda ya kumaliza vita hii ndiyo atoke madarakani na kazi hiyo alipewa na wananchi wa Israel wenyewe!!!!
Huo uharibifu sasa ndio umerudisha nyuma uwezo wa kuendelea tena na programUharibifu utakua mkubwa lakini haina ulazima kua uharibifu umetokea kwenye focal point ya facility.
Watu wawili wakipigwa risasi kwa kutumia bunduki moja,mmoja akapigwa ya bega mwingine ya kichwa watapata madhara tofauti kutokana na mahali walipojeruhiwa japo hio risasi ina nguvu sawa.
Hakuna aliepinga hili..swala ni wewe kusupport program imerudi rudi nyuma kwa miaka kadhaa huku enrichment ikiwa ni miezi kadhaa na ukiulizwa phase gani ya program imerudi nyuma kwa miaka kadhaa hujui..inashangaza kusupport kitu bila kua na obvious factsHuo uharibifu sasa ndio umerudisha nyuma uwezo wa kuendelea tena na program
Mimi sijasupport chochote bali nimeweka tu taarifa, maswali ndio yakaja. Kupitia maswali ndio hapo wote tukajadili je ni kweli au si kweli kulingana na facts kadhaa.Hakuna aliepinga hili..swala ni wewe kusupport program imerudi rudi nyuma kwa miaka kadhaa huku enrichment ikiwa ni miezi kadhaa na ukiulizwa phase gani ya program imerudi nyuma kwa miaka kadhaa hujui..inashangaza kusupport kitu bila kua na obvious facts
Unavyojibu maswali ni wazi unaitetea taarifa wala hujajitenga nayo..au na hilo pia hatuwezi kutumia akili zetu kutambua kama tunavyoweza kutambua impact ya vita?Mimi sijasupport chochote bali nimeweka tu taarifa, maswali ndio yakaja. Kupitia maswali ndio hapo wote tukajadili je ni kweli au si kweli kulingana na facts kadhaa.
wewe huelewi centrifuge zikiharibiwa kwa mashambulizi, uranium iliyomo ndani yake inaweza kuvuja kama gesi?Kuvuja kwenda wapi? Pia inategemea na design ya facility ambapo imo
Kweli..Za Iran zilikua Khordak-15 na Bavar-373,s300 zilifeli mwaka Jana zilipokua zinazuia shambulizi la Israel la ndege kwa Iran.
Kwa China naamini silaha zao nzuri hawawezi kumuangusha mtu wamethibisha hilo kwa Pakistan.
Sio tu Iran hata EU na USA hawakuamini namna Iran alivyo advance katika jeshi.
Walidhani Iran hii ni kama Iran Ile ya 1980s.
Israel haijioni salama tena lazima tuu ahangaike kumuangusha Iran.
Inavuja lakini mashara huwa kidogo na katika mazingira mengine huishia kubaki ndani ya plantwewe huelewi centrifuge zikiharibiwa kwa mashambulizi, uranium iliyomo ndani yake inaweza kuvuja kama gesi?
Mimi sijui nani anasema kweli, lakini kupitia nilichoona naweza pia kujua nadhara yalikua makubwa au kidogo. Ndio maana nililueleza kuwa makombora ya tani kadhaa yaliyoshushwa na B-2 bomber hayawezi kuacha madhara kidogo. Hapo nimetumia common sense tuUnavyojibu maswali ni wazi unaitetea taarifa wala hujajitenga nayo..au na hilo pia hatuwezi kutumia akili zetu kutambua kama tunavyoweza kutambua impact ya vita?
Kuishia kubaki ndani ya plant kivipi?Inavuja lakini mashara huwa kidogo na katika mazingira mengine huishia kubaki ndani ya plant
Ila bavar-373 Ina efficiency mzee kuliko s300, shambulizi la Israel mwaka Jana Oktoba lilithibitisha,s300 ilielemewa na kulipuka batteries zake ila Bavar ikiendelea kuchapa kazi.Kweli..
Sina shaka na Iran kwenye masuala ya ulinzi wa anga, wanajua wanachokifanya, hizo HQ-9 za China naamini Ikitokea Iran wakitaka kufanya customization wataweza, maana nasikia HQ-9 ni equivalent ya s300 kama ilivyo bavar ya Iran... hivyo wana wataalamu wa kutosha na wanaoelewa vyema ADs... na pia wana uzoefu mkubwa na hizo ADs familia ya s300...
Nasikia wamepewa hio HQ-9B ambayo ni upgraded version ya HQ-9... ngoja tuone..
Sawa..lakini ukiishia hapo na kuhitimisha unajilimit na inakua sio critical thinking tena.Mimi sijui nani anasema kweli, lakini kupitia nilichoona naweza pia kujua nadhara yalikua makubwa au kidogo. Ndio maana nililueleza kuwa makombora ya tani kadhaa yaliyoshushwa na B-2 bomber hayawezi kuacha madhara kidogo. Hapo nimetumia common sense tu
Hivi ina maana Iran ina shortage ya bavar hivi sasa?Ila bavar-373 Ina efficiency mzee kuliko s300, shambulizi la Israel mwaka Jana Oktoba lilithibitisha,s300 ilielemewa na kulipuka batteries zake ila Bavar ikiendelea kuchapa kazi.
Sawa sasa mkafunge kabisa uko Taifa teule la mchongo atutaki lawama hooo tumepiga hospital ohh vituo vya Sayansi sasa pangeni kabisa mabeki wenu dilisha la usajili lipo wazi !!!!!!!!π©πͺπΊπ¦ Mfumo wa kuangushia Drones wa Skynex uliweza kuzipopoa Drones aina ya Shaheed 6 kwa wakati wa shambulio moja la anga huko kiev jana usiku!!!!
Mkuu..Sawa..lakini ukiishia hapo na kuhitimisha unajilimit na inakua sio critical thinking tena.
Maswali bado mengi..je yalirushwa kutoka umbali gani,je uwezo wake kwenda chini ni upi,je hicho kituo kilikua umbali gani kwenda chini,je blast yake inakua na imbact kwa circumference ipi likipigwa kwenye majabali..je walilenga focal point?ke kulikua na uranium huko ndani kwa muda huo wanaolenga???
Haya maswali yooote majibu tunayapata kutokana na impact iliyokua reported..hadi leo utasikia huyu anasema kituo hakikuharibika sana..mwingine anasema kiliharobika kwa kiasi kinachorekebishika kwa miezi kadhaa tu..mwingine anasema miaka kadhaa..mwingine anasema hawakulenga shabaha sahihi..mwingine anasema impact ni physical damage kwenye vifaa vichache sana visivyo na madhara..hawa wooooote ni upande wa west ndo wanasema
Upande wa iran wao wanasema kuna impact inayorekebishika ndani ya kiezi kadhaa na hapakua na enriched uranium maana ilishahamishwa.
Sasa hapo unaona upande mmoja una majibu mengi upande mwingine una jibu moja
Upande wa west hauna ushahidi wowote wa kusupport hata kwa experience ya mahali pengine ambako hua panaharibiwa kua kuna madhara ya wazi lakini hapa tunapata maswali kwa nini hapana madhara ya waziii??kwa nini ni hapo tu ndio pasiwe na chemical impacts zozote??
Ndio maana wengi tunaishia kuamini kua ni kweli pamepigwa hili liko wazi kila upande unakubali..lakini impact yake haikua iliyokusudiwa na huenda uharibifu haukua mkubwa kiasi hicho ndio maana Israel wanapanga kurudi tena.
Nyingi zimeharibiwa yes Wana shortage.Hivi ina maana Iran ina shortage ya bavar hivi sasa?
Mwaka jana niliona ile kazi, ilikuwa balaa, kuna wadau wakaanza kusema Iran inatumia laser kuzuia makombora ya Israel...
Sawa sawa...Nyingi zimeharibiwa yes Wana shortage.
Maana ripoti zinasema nyingi zimeharibiwa kabla hata ya kuanza kazi kwa shambulizi la ndani.
Khordak ni za short and medium range surface to air missile,hivyo huwezi kuzitegemea Khordak ADS.
Bavar ndio za Long range surface to air missiles,na wamebakiwa nazo chache sana,ku produce sio leo wala kesho wanahitaji muda.