SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Israel inafanya ugaidi..
Na navyowajua Iran hawatochelewa kupata ushahidi,na wakipata wakajiridhisha ni Israel kafanya aisee😂😂😂😂kisasi kama kile Cha Qassem Soleimani kitatokea.
Au kisasi kama cha Iran consulate pale Damascus kitatokea.
 
Na navyowajua Iran hawatochelewa kupata ushahidi,na wakipata wakajiridhisha ni Israel kafanya aisee😂😂😂😂kisasi kama kile Cha Qassem Soleimani kitatokea.
Au kisasi kama cha Iran consulate pale Damascus kitatokea.
Israel anachotafuta ni kuilazimisha Iran ianze kushambulia halafu waanze ku play victim ili NATO wamsaidie..
 
🇮🇷🇹🇷 Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi baada ya kuku tana na Putin kakimbilia tena China kute beza Bakułi kwa Rais wa China Xi Jinping.

Ziara hizi zote ni kufuatia kipigo cha mbwa-koko walichokipata June 13,2025 sasa wanajitahidi kutembeza bakuli ili kusaidiwa endapo Israel itaamua tena kuwashushia kipondo Kingine!!!
 

Attachments

  • IMG_3665.jpeg
    143.8 KB · Views: 12
Israel anachotafuta ni kuilazimisha Iran ianze kushambulia halafu waanze ku play victim ili NATO wamsaidie..
Iran sio wajinga na NATO pia sio wapumbavu.
NATO yenyewe tayari ina mpasuko sasa hivi, representative member wao wa EU wanataka waunde mkakati wa kujitegemea nje na USA.
Hapo wanatizama bajeti ya uendeshaji na mambo mengine,useme uwaingize vitani sasa hivi ni jambo ambalo haliwezekani.
Nadhani umeona hata wenyewe wakuu wa nchi za NATO wengi wanadai wanakatikiwa silaha kufadhili Ukraine,leo uwaambie kuna vita middle east watakuelewa kweli!?
 
We kichaaa yule nyeta nahu anavyo haha kwa trump tumuiteje
 
💥💥
Video footage: vikosi vya zimamoto na uokoaji bado vikiwa vinapambana kuzima Moto mkubwa ambao ulianza jana usiku mtaa wa shahrivar katika jiji la Mashhad
 

Attachments

  • 2025-07-15_12-15-26_0.mp4
    2.1 MB
💥💥💥
Muda mchache uliopita Moto mkubwa karibu na eneo la Tabriz city tower huko katika jiji la Tabriz
Vikosi vya zimamoto na uokoaji viunafanya kazi ya kupambana nao
 
💥💥💥
Muda mchache uliopita Moto mkubwa karibu na eneo la Tabriz city tower huko katika jiji la Tabriz
Vikosi vya zimamoto na uokoaji viunafanya kazi ya kupambana nao
We jamaa una connection na watu wa zima moto wa Tehran
Kila moto chap ushapost
 
Habari kama hizi Yule jamaa wa mlipuko mkubwa hatoagi sijui Kwa nini
 
Habari kama hizi Yule jamaa wa mlipuko mkubwa hatoagi sijui Kwa nini
Mkuu nilieleza hili kuwa, jambo la nyuma huwa naweka endapo linakua na muendelezo. Si hayo hata mengi ya Iran ya nyum nayopata sasa siyaweki humu sababu naona ni habari isiyo na muendelezo
Mfano: huu ni uwanja wa Tabriz, habari yake ilikuja lakini sikuiweka


Mfano mwingine juzi ilikuwepo habari, hii ni sehemu ambayo Raisi Pezeshkian alitorokea baada ya shambulizi, lakini sikuiweka


Mfano mwingine nina videos hapa za shambulizi lililotokea kwenye vikosi vya basij, lakini sikuiweka sababu sikuona Kama Ina muendelezo

Mfano wa mwisho, Jana nilikua na habari ya refueling plane kuingia Iran na kufanya refuelling kwenye ndege vita za Israel, lakini sikuiweka sababu sikuona muendelezo
 
Yule kashajulikana upande alipo
Utasikia hii habari haina mwendelezo mpaka unajiuliza mwendelezo tena?

Ila sio mbaya kikubwa ana mlipuko mkuuuuuubwaaaaa😂
Mkuu kila habari ya nyuma nitakuwa naiweka hata kama haina muendelezo kwa sasa? Si itakua tunarudia yaleyale yaliyoshatokea wakati yapo mengi kwa Sasa yanayoendelea kutokea?
 
Muendelezo imekua tamthilia hio .we sema tukio
Asa kama sehem imelipuliwa unataka muendelezo Gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…