SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Nmeona wairani na sisi wengine tunajisifu kwa uchebe, mzuzu na kuvaa vipedo. Wakati huo Israel inafuga akili kubwa. Tujionee wenyewe.

Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
This is not Gaz, nyie mashoga leo mmeshindwa kusherehekea mko kweny mahandaki kama panya.
 
Nitakua nafuatilia kimyakimya kuupa moyo wangu burudani... Nikiwa nachanja sipendi kuandika napenda kuperuzi tu 😊
Chagua upande halafu piga spana upande wa pili kuna comment ukisoma mpaka inakuuma hahaha inabidi uandike na wewe

kuna wale pro Israel na pro Iran wakiweka Vita apa mpaka wanaleta na dini hao ndio wa kubishana nao sasa maana wapo emotional Sana 😁😁😁
 
Salvatory Kusema Mabeyu Ni zaidi ya 1%of 1% wote.
Kaweza kubeba Bomu na kulihifadhi Chamwino.
 
🎯#BREAKING: Prime Minister Netanyahu confirms the elimination of the Iranian intelligence chief and his deputy.
 
Ila mkuu ukikaa kwa mbali unaona regime change middle East mfano wa Arab spring haiko mbali kwa mataifa ya Saudi Arabia, Kuwait Bahrain na Jordan
Kila siku naliongea hili, angalia tu Yemen, Shia ni minority na Houth walikua hawana nguvu kivile kulikua na makundi mengi yanawapinga, ila walivyoweka cause yao kwa Palestina na kuwasaidia Nchi nzima imeunganika, Saud sasa hivi kama ana influence Yemen ni ndogo sana.

Raia wengi wa hizo Nchi wana support resistance za Palestine bila kujali mtu, jinsi viongozi wao wanavyo kua against nao soon yataanza makundi ya kuwapinga.
 
Nina mashaka na uelewa wako toka lini dunia iliiwekea vikwazo Iran? Mimi Najua Iran kawekewa vikwazo na Marekani na baadhi ya nchi za ulaya si dunia kama unavyodai.

Wewe Mmatumbi mwenzangu unasema Israel haina haki ya kujilinda wauwawe tu lakini wauaji ndiyo wewe umewapa haki ya kuwa na utu na uhuru wa kuvamia na kuua watu wengine watakavyo kwako wewe unaona hiyo ni haki?

Ni kweli Israel Ina silaha za Nuclear kwa akili ya kujilinda na maadui wanaotaka kuiangamiza. Iran hawezi kuruhusiwa kuwa na silaha kama hizo sababu kuu yeye ni mfadhili mkuu wa Magaidi Hamas,Hezbollah na Houth na walishatangaza kabisa kuwa lengo lao kupata silaha za Nuclear ni kuiangamiza Israel ndoto hizo za Iran zimezimwa na majeshi hodari ya Israel.

Dunia haiwezi kumaliza mgogoro wa mashariki ya kati kwa sababu waarabu hawataki kabisa taifa la Israel wanataka kulifuta kitu ambacho ni ndoto za Mwendawazimu ambaye amelazwa Milembe Hospital.
 
Iranian intelligence officer and brigadier general Mohammad Kazemi, and his deputy, are reportedly buried under the rubble of the IRGC intelligence headquarters after an Israeli airstrike hit the complex this afternoon.
Hapo ndipo Iran ina Felisha Pro Iran yaani kila pigo linaondoka na Mtu mkubwa ila wenyewe wanaua manesi na maticha walio chelewa kuingia kwenye bunker
 
Nipo na Israel bega kwa bega mpaka itakapofunzwa adabu na muajemi πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…