MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Haitaisha, ni vita ya kiitikadiIli vita iishe lazima mmoja afe.
Hii vita imeshika pabaya lazima taifa moja wapo la mauti lipoteze kiongozi
Na ataekufa ni Ayatollah Khomenei
RIP in Advance
Uzingatieni huu uzi
Sasa wakubwa wa jeshi na teknolojia ya kutengeneza silaha vinaingilianaje?😂😂 vita inapropaganda hii nchii ambayo mpakaa mkuu wa majeshi, mshauri mkuu wa kiongozi mkuu wa nchi mkuu wa islamic state scientist mahili wa nyuklia na base za sili za nyuklia vinauliwa simple namna ilee inawezaje kua na advanced weapon ambazo akuna nchi imewai kuziona just tumia kufikilia kikawaida tu apoo mkuu
Eti magharibi waisrael ni wazungu?Walisema Ruhollah Khomeini akifariki basi Iran itakuwa na hali mbaya.
Akafariki, akaja Ali Khamenei na wanadunda mpaka leo.
Netanyahu akifariki hakiwezi kubadilika chochote, maana yanayofanyika Mashariki ya Kati siyo matakwa ya Netanyahu, bali madola ya Kimagharibi ambayo yanaitumia Israel kama ubalozi wao (Imperial Front) kule Mashariki ya kati.
Na ndio kinacholengwa hapoSasa ayatollah akifa huoni kuwa itakuwa ni mwisho wa serikali ya mapinduzi ya kiislam iran?
Hakuna air defense inaweza kuzuia hypersonic missile, plus hizo missiles inakuja na decoy...kwani hizo base ni idle, kwamba zenyewe zitashambuliwa kiboya tu?
Eti magharibi waisrael ni wazungu?
ndio nyie mnasema Yesu ni mzungu
mbona Hezbollah hawaonekani?Haitaisha, ni vita ya kiitikadi
Tangu uzaliwe ulishasikia wazungu wana kabila kama hizo au akili ya propagandaAshkenazi ni wazungu wanaotokea Urusi, Poland na Ujerumani.
Mbona mwanzilishi naona ni yule yule kimsboy, sema wamebadili kichw cha habari.. na wameunga nyui nyingine lakini tupo sawa, sema wawe wanaoa taarifa sio kufanya kienyeji..Moderators wameuua uzi wetu kwa makusudi na wameuleta huku!
Na wamefuta baadhi ya comments zangu.
Mwenye huu mtandano ni nani?
Kama watu wameingia mpaka seem zenyeulinzi zaidi katika nchi yako waningia mpaka ikulu kuua watu wanao wataka wao wafe wanashindwaje kujua aina za siraha unazi miliki kama vinu vya nyuklia vilivykuepo seem za sili zaidi na ulinzi mkali zaidi watu wamevijua vyote watashindwaje kujua siraha za hatari ulizo nazo siping technology yao bali naongele watu kuzijua saraha zaoSasa wakubwa wa jeshi na teknolojia ya kutengeneza silaha vinaingilianaje?
Mimi sio jasusi siwezi kujua walicho nacho izoo kombola kweli wanazo na ni zakisasa zaidi lkn mm ninachoongelea kwamba mashilika makubwa ya ujasusi kama Mosad CIA n IDF lazima wanajua kitu kama icho kwasababu iran ameonesha wazi kua yeye kwenye intelijensia yake yupo week aiwezekan watu wakuchimbe mpaka chumbani kwako kiasi icho araf useme washindwe kujua siraha hatari unazo zimilikiHizo Hypersonic tu walizonazo Iran ambazo zinapita juu ya nchi 3 ambazo zinaisaidia Israel kuyatungua lakini bado zinafika Israel hadi Iron Dome na Air defence system zote za Israel zimechanganyikiwa na kushindwa kuzizuia na kufanikiwa kupiga target ni Advanced weapons za Iran ambazo hazijawahi kushuhudiwa, kama umewahi kuzishuhudia eleza umezionea wapi.
Eti ambazo dunia haijapata kuziona. News handout from a masjid reporter.Trump akiingia base za US middle East zinakaangwa kama mihogo..
Iran wanasem hawajaanza kutumi advaned weapons ambazo dunia haijapata kuziona..
Hao wana uawa ni watendaji, wanakwenda kazini na kurudi, hao wanasayansi wanakwenda kazini jioni wanarudi nyumbani, hivyo mossad wanawafuatilia, lakini access ya kuingia huko kwenye vinu vya nuclear si rahisi, kuna ulinzi mkali..Kama watu wameingia mpaka seem zenyeulinzi zaidi katika nchi yako waningia mpaka ikulu kuua watu wanao wataka wao wafe wanashindwaje kujua aina za siraha unazi miliki kama vinu vya nyuklia vilivykuepo seem za sili zaidi na ulinzi mkali zaidi watu wamevijua vyote watashindwaje kujua siraha za hatari ulizo nazo siping technology yao bali naongele watu kuzijua saraha zao
Tangu uzaliwe ulishasikia wazungu wana kabila kama hizo au akili ya propaganda
Trump akiingia base za US middle East zinakaangwa kama mihogo..
Iran wanasem hawajaanza kutumi advaned weapons ambazo dunia haijapata kuziona..