Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
we. ni mpumbavu Ashkenazi ni jina sio kabilaNdiyo, mbona hata kwenye Biblia imeandikwa kwamba Ashkenazi alikuwa ni mtoto wa Japhet (Baba wa wazungu), na siyo Shem (Baba wa Wayahudi). AU hili hukufundishwa Sunday School ????
"Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Na kwao walizaliwa wana wa kiume baada ya gharika. Wana wa Yafethi ni Gomeri, na Magogu, na Madai, na Yavani, na Tubali, na Mesheki, na Tirasi. Na wana wa Gomeri ni Ashkenazi, na Rifathi, na Togama." Mwanzo 10: 1-4
ushasema wayahudi wa ulaya,Wayahudi wa Ulaya ndiyo wenye nguvu na ni asilimia 70% ya wayahudi wote duniani.
wairan hawawez jua maana chuki yao n kubwa kuliko akiliKwa hiyo hizo akili za kujua hayo uwe nazo wewe unaekaa homboza ila wairan wenyewe hawalijui ilo si ndio?
kweli kabisaVita inaisha kama Irani aki stand down sababu vita hii haina manufaa makubwa kwao tofauti na Israel.
Israel wanataka vita hii iendelee zaidi ili kumaliza nguvu za Irani kabla hawajafanikiwa kuzalisha bomu la atomic.
Unampokonya vipi sasa.mtu akishakuwa na Nyuklia basi huyo anakuwa mkubwa mwenzakoPakstan wasubiri dawa yao ipo jikoni
Wakubwa wanapanga kumpokonya nyukilia kwasababu hana akili
china iharibu uchumi wake kizembe namna hiyo? Vita ni gharama kubwa mjubaVichekesho kama hivi tunabonyeza namba ngapi?
we. ni mpumbavu Ashkenazi ni jina sio kabila
Wakati huo hakukuwa na taifa la israel wala ibrahim alikua hajazaliwa
“ndo shida ya madrasa bila elimu”
😂😂mbona makasiliko wewe ayaa mambo yapo ndani ya uelewa wako unavyo zani unaweza ukakuta hata chanzo cha ugomvi wao na ugomvi ulianza mwaka gani ujui araf unaongelea uelewaKwanini lisiwezekane?
Mbona una ufinyu kwenye upembuzi mkuu!?
Hao makamanda wanauliwa kwa mashambulizi ya kuvizia na ni jambo ambalo linawezekana.
Kuua kwa kuvizia kupitia mashushushu na kushambulia kwa silaha ni mambo mawili tofauti.
Shida unajadili mambo yalo kuzidi uelewa
ushasema wayahudi wa ulaya,
afy mnajichanganya mnasema ni wazungu
Upumbavu haunaga mipaka
Silaha ina thamani kuliko kamanda.kwani wa Iran awakujua kuwa Israel atashambulia, si kila sehemu ilisikika hata sisi huku tulijua lakini wameficha Silaha makamanda wapo front.kwa nini na wao iran wasilipize kwa kuvizia kuua makamanda wa israel kama inawezekana?
Uzi Unabadilika kila muda.comment za huku zinapelekwa sehemu nyingine alafu zingine zinaletwa humu🤣🤣🤣Aisee mbona hawa mods wanajichanganya sana, huu uzi kichwa cha habari kimebadilika wana shida gani?
Mods ni MBU³Aisee mbona hawa mods wanajichanganya sana, huu uzi kichwa cha habari kimebadilika wana shida gani?