Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

After underwater targets in Berdyansk, Nazi air targets appeared on the Berdyansk Spit
 
Ngoja nikuache nimekuelewa
 
Nilimaanisha R-36 zilitengenezwa Ukraine na Russia kabaki nazo chache, RS-28 ndio modern
 
Nilimaanisha R-36 zilitengenezwa Ukraine na Russia kabaki nazo chache, RS-28 ndio modern
Huyo uliyemquote wewe alisema tu samart wewe ukasema rs36 samart ukaja na maelezo ya spare na maintenance ndio mm nikakuambia labda (huyo uliyemquote) alimaanisha rs28 samart!

Kuna swali langu hapo chini kbs naona umeliskip!

Btw najifunza mengi ya silaha na zana kutoka kwako, shukrani tupo pamoja!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
UK, USA wana jeshi bora, Urusi ilikuwa 1991 kurudi nyuma.
Kwa hiyo kuanzia 1992--2022...urusi hawana jeshi bora eti bwana re-seach wa kutoka pentagon ....na unalijua jeshi la urusi nje ndani ...[emoji848][emoji848][emoji848].....huku nchi 30 yaani NATO na marekani zikijenga makambi ya kijeshi duniani kote kuizunguka urusi.....alafu unasema eti urusi ilikuwa 1991 kurudi nyuma ....kama jeshi la urusi ni la hovyo na dhaifu kwanini wanamjengea mitambo ya makombora .....pembezoni mwake ...kama kweli urusi ni dhaifu kama unavosema ......blaza wacha kujitekenya na kucheka mwenyewe ......[emoji854][emoji854][emoji854][emoji854][emoji854].....hao wazungu unaowaona ninborankwa jeshi ..wanaiogopa hiyo urusi dhaifu unaisema wewe ....ebu tulia kwanza kaa chini .tafakari kidogo bila hata kuweka ushabiki .......NCHI 30 YAANI ULAYA ..NA JESHI LAO LA NATO NA JESHI LA MAREKANI ......LIMEJAZA MAKAMBI KUMZUNGUKA URUSI HAWAONI HATA AIBU .....nchi moja wanakusanyana dunia nzima ....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji849][emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].......mpaka huku afrika wanatulazimisha tuchague upande wao kuihukumu urusi .....KWELI URUSI NI BABA LAO .........[emoji23][emoji23][emoji23]..rudia kusoma ulichoandika [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]huko juu.....
 
Ngoja kwanza Zelensikky afanye vitu vyake,naona Putin anambwela mbwela tu,kisha tutasherehekea ushindi saafi kabisa na kukufuta machozi kijana wa Putin 😉
Usife na tai shingoni ...nchi ya zelensikky inachomeka ishakuwa majivu .....na bado poland tutaingia huko nako maana anajifanya na yeye kaweka uwanja wa mapambano home kwake stay tune ..... unaona hizi fagio zinaenda fagia ulaya na marekani dunia ianze upya .....[emoji6][emoji6][emoji6]
 
Subiri waje watakutukana. Toka enzi na enzi vita vinapiganwa kwa silaha kulingana na zama husika. Zama hizi ni za nuclear na zitatumika tu Pro NATO watake wasitake yaan wakijitekenya ni kubonyeza button tu kutokea Moscow na kufuatilia runingani
Hawajielewi hawa wanaichukulia urusi kama mbagala rangi tatu ......marekani kawajengea makambi kumzungjka russia ....alafu wanakwambia russia ni dhaifu .....aiseeee....
 
Wanamwekea urusi vikwazo vya uchumi si uoga huo ......kwanini kama jeshi la urusi nidhaifu wasilivamie kama urusii ni dhaifu ...wana kalia kupiga kelele kwenye media .........afu mtu anakwambia russia ni dhaifu .....aiseee
Ndio kwanini asiichague ujeruman,Italy au britain kama yeye ni chizi?
 
35-year-old warrant officer Nikolai Naumov from the Chernyshkovsky district of the Volgograd region fell on the battlefield. This happens
GANGA ZUMBA NA UZUMBUKUKU WAKE ......BICHWA KUBWA HALINA KITU ....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

......ukraine yote inaungua we unatuletea vipicha viwili vitatu vya makamanda wa urusi hiyo ndo kazi yao wameondoka kishujaa ....ebu leta na picha au video za ukraine zenye sehemu ambazo ni salama kwa raia kukimbilia ndani ya hiyo nchi ....weka hata kapicha kamoja hapa ......yukrain inawaka moto .....[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…