Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
vita ni mrusi na mwamerikaUpdate baada ya mkutano wa jana wa NATO, G7 na US.
Biden told world leaders in Brussels the US would "respond" if Russia uses chemical or biological weapons in Ukraine
Puttin anachaguliwa silaha.Update baada ya mkutano wa jana wa NATO, G7 na US.
Biden told world leaders in Brussels the US would "respond" if Russia uses chemical or biological weapons in Ukraine
Kwann hii vita inakuwa ndefu na Europe haifanyi jitihada kuifupisha katika mazingira kama haya unayopost kila wakati?Kansela wa Ujerumani apinga utaratibu mpya wa Putin wa kutaka malipo ya gesi yake yafanywe ktk sarafu ya Russia (ruble). Anasema mikataba ya biashara ya gesi waliosaini nchi za EU na Russia inaeleza malipo yafanywe ktk Euro au USD. Russia kutaka malipo ktk ruble ni kukiuka mkataba huo.
Mwambieni kwani wao EU wamekiuka mikataba mingapi ktk kuweka vikwazo? Au hawakujua madhara ya wao kuanza kuvunja mikataba hiyo?
Aache kulialia, kama hawezi kununua kwa pesa ya ruble, akatafute gesi kwingine...tusichoshane!
View attachment 2163680View attachment 2163681
Putin alizingua alivyodhani akiingiza majeshi basi Ukrainian watamuangalia tuu kama ilivyokuwa crimea 2014.HII VITA TUNAIMALIZA SIKU TATU[emoji23][emoji23][emoji23]
MWEZI SASA UNAISHA[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu ndio anaedungua makamanda?Tangu ulipoleta taarifa kuwa huyu Deadliest Sniper kafariki,hakuna anaekuamini tenaView attachment 2162748
Kwahiyo akiendelea kuua kwa style hii ya sasa hataingilia?Update baada ya mkutano wa jana wa NATO, G7 na US.
Biden told world leaders in Brussels the US would "respond" if Russia uses chemical or biological weapons in Ukraine
Halafu ili iweje?Vita hii ingekuwa imeshaisha Kama Rais wa Ukraine angeachia madaraka yake, pia na NATO kuacha kumpa siraha Ukraine.
EU wanatamani hata leo vita iishe, ila hawana uwezo huo wa kuifupisha/maliza kwa kuwa ni madhaifuKwann hii vita inakuwa ndefu na Europe haifanyi jitihada kuifupisha katika mazingira kama haya unayopost kila wakati?
Itakuwa ni balaa endapo US atainingilia, maana tutakuwa tunakwenda vita kuu ya 3 - sababu upende wa urusi kama mchini na mkorea wakiingia itakuwa ni zahma kubwa.Kwahiyo akiendelea kuua kwa style hii ya sasa hataingilia?
Gadafi akitumia chemical na biological weapons ndio maana US. alirespond?
Walipoenda libya walizingatia hiyo mipaka?Ni ipi mipaka ya NATO kutoa misaada ya kijeshi kwa nchi asiye mwanachama na kwanini mipaka hiyo iliwekwa?
Yap,huyo ni deadliest Sniper kazi yake ni moja tuu kuwala vichwa Majenerali wa Russia.Huyu ndio anaedungua makamanda?