President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Uchambuzi wa kipuuzi huu, vita ya mwezi mmoja ifilisi nchi kama Russia? Nenda google mpaka hana EU wanalipa kiasi gani kwa nushati ya Russia? Umevimbiwa mihogo conclusion za ajabu, Pumbavu.tukakaa hivi hivi kwamba hizi ni propaganda kumbe mambo yamebadilika - hakuna yoyote aliyedhani vita hii itakuchukua siku 30 - hata Putin mwenyewe haamini.
Kuondoka huko hawezi kabisa maana itaonekana kashindwa, kwa hiyo kinachokwenda kufanyika ni makubaliano ya kumaliza vita na Ukraine moja kwa moja kujiunga NATO - na Mrusi kudhoofu ki-uchumi na huo ndio utakuwa mwisho wa utawala wa Putin - game over
Huo mtazamo wako, ila kiuhalisia kwa kauli za viongozi wa nchi mbalimbali za NATO na vitendo vyao pia, wanatamani Russia angeacha vita hii mara moja. Maana anayechapika na miji yake kuangamizwa kuwa vifusi na kuzalisha zaidi ya wakimbizi milioni mbili ni UkraineNinavyoona mm ni hawataki kuimaliza hii vita na kuanzisha vita ya dunia na pia hawataki mrusi aache kupigana, ndio sababu ya kutoa msaada ulio na lengo la kurefusha maisha ya uwezo wa kudefence wa Ukraine na si kushinda.
Ukraine ikichapika NATO wanapoteza nini? Twende taratibu.Huo mtazamo wako, ila kiuhalisia kwa kauli za viongozi wa nchi mbalimbali za NATO na vitendo vyao pia, wanatamani Russia angeacha vita hii mara moja. Maana anayechapika na miji yake kuangamizwa kuwa vifusi na kuzalisha zaidi ya wakimbizi milioni mbili ni Ukraine
Ukraine inatumika kama ulingoAKILI UNAZO LAKINI?? NATO AINGIE KAMA NANI? UKRAINE UNAJUA KUWA SIO MWANACHAMA WA NATO?? ACHA KUFIKIRI KWA KUTUMIA UBONGO WA NYUMA
NATO HAINA SABABU ZA MSINGI KUINGILIA VITA ILA NA KAMA ANAWEZA AJARIBU KUTUPA BOMU HATA KWA BAHATI MBAYA KWA MOJA WA WASHIRIKA WA NATO, UTAONA MZIKI
HII VITA TUNAIMALIZA SIKU TATU😂😂😂😂
MWEZI SASA UNAISHA
PrestigeUkraine ikichapika NATO wanapoteza nini? Twende taratibu.
Waulize wao waliokuwa wanataka kuweka ngome za kijeshi za NATO Ukraine. Kibaraka wao akianguka watapoteza nini?Ukraine ikichapika NATO wanapoteza nini? Twende taratibu.
Prestige? Serious? To who? Russia? Ukraine si mwanachama wa NATO. Kwann unafikiri NATO itajali kuhusu prestige kwa kupigwa nchi asiye mwanachama?Prestige
Exactly, Hiyo kutaka kuweka ngome ya jeshi ndio sababu ya Urusi kupigana, na mm ninavyoona walijua Urusi atapigana, lakini hapo hapo hawajamuunga uanachama ili kusitokee vita kubwa kati yao na Urusi, halafu hapohapo wanamsaidia Ukraine kwa kiwango cha kuifanya operation ya Urusi ichukue muda mrefu. Hauoni lolote hapo? You dont see kuwa wanaotaka vita iwe ndefu ni NATO na US?Waulize wao waliokuwa wanataka kuweka ngome za kijeshi za NATO Ukraine. Kibaraka wao akianguka watapoteza nini?
Watoto ndio hawawezi kudanganya sasaMnatuwekea pic za watoto mbona?Hawajui lolote hawa
Niko pamoja na wewe!Yeye anajua kwa Nini nimemwambia hizi Ni propaganda...habari zozote zinazoletwa na BBC huwa wanakimbilia kusema Ni propaganda Leo hii iweje Ni valid?wtukakaa hivi hivi kwamba hizi ni propaganda kumbe mambo yamebadilika - hakuna yoyote aliyedhani vita hii itakuchukua siku 30 - hata Putin mwenyewe haamini.
Kuondoka huko hawezi kabisa maana itaonekana kashindwa, kwa hiyo kinachokwenda kufanyika ni makubaliano ya kumaliza vita na Ukraine moja kwa moja kujiunga NATO - na Mrusi kudhoofu ki-uchumi na huo ndio utakuwa mwisho wa utawala wa Putin - game over
Hhh[emoji632]French companies should decide for themselves whether they want to continue working in Russia, French President Emmanuel Macron says.