Ni sawa na kufumuliwa marinda afu unamuwazi anaekufumua kwamba akichoka nawe ndo umfumue sasa ole wako jamaa awe na mapafu ya mbwa... the last kicks of a dying horse! Air Force One imetua salama Eastern Europe; one of the heaviest delegations ever and the airspace fully under controll. Let's keep our ears on. Jambo zito gonna happen.
Lengo la USA ndio lilikuwa hili la kufanya biasharaBiden promised to provide the countries of the European Union with such volumes of gas that would allow them to abandon the purchase of Russian blue fuel "long before 2030."
Galip SV Liwagu View attachment 2164001
Pamoja mkuu humu tunaelekezana na sometimes mtu unakosa accuracy kwa kuwa sisi sio journalists kwamba tufanye uhakiki kwanza.Huyo uliyemquote wewe alisema tu samart wewe ukasema rs36 samart ukaja na maelezo ya spare na maintenance ndio mm nikakuambia labda (huyo uliyemquote) alimaanisha rs28 samart!
Kuna swali langu hapo chini kbs naona umeliskip!
Btw najifunza mengi ya silaha na zana kutoka kwako, shukrani tupo pamoja!
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wapuuzi Hawa, so wanampango gani na chakula chake na simu mpaka wafuatilie hivyo?
... the last kicks of a dying horse! Air Force One imetua salama Eastern Europe; one of the heaviest delegations ever and the airspace fully under controll. Let's keep our ears on. Jambo zito gonna happen.
Wananchi wamekimbia nchi yao.Hiyo namba 3 ya kurejesha lugha ya kirusi ni kwa yale majimbo mawili ya mashariki mwa Ukraine ya Donentsk na Luhanskh na sio Ukraine nzima.
Hilo la kupunguza jeshi sijaisikia kama wameliridhia ila wanasema makubaliano yoyote lazima yaridhiwe na wananchi kwa Referendum.
Russia inaendea kusonga Mbele soon Mariupol republicanNafikiri kwa sasa wote tulioshangilia vita tunaona matokeo. Kwanza nampongeza Zelensky. Ni mwanaume hasa. Pili nampa pole Putin na warusi wa tukuyu. Mwezi mzima mmeshindwa kuichukua nchi. Vita sio kitu kirahisi kihivyo. Pili, sasa hata wananchi wa Russia wanajua kuna vita. Miili inarudi kwenye mabegi. Wanaokufa ni watoto wao so inawauma. Matajiri wote hela zimeyeyeka. Starehe zote kapuni. Tatizo tu ni kwamba bei ya mbolea na mafuta inanigusa na mimi. Hapa bado sana. Huwa tutajifunza tukiwa tumechelewa. Wakati vita inaanza kupulizwa mwaka 2014 tulitakiwa tujiandae. Tuna gesi tuliyowauzia wazungu bure, tunaweza kutengeneza viwanda vya mbolea na viwanda vya kuichakata gesi kuwa yenye kutumika majumbani, pia tuna ardhi ya kulima alizeti na michikichi. Tujipange maana bado bei ya unga wa ngano pia utapanda mara dufu. Tambi zitapanda, unga wenyewe, mikate na maandazi na labda bia. Tunategemea kuagiza ngano nyingi kutoka urussi au ukraine. Hii vita itufumbue macho tuwekeze kwenye vitu tunavuyotumia. Tunaweza kaa uchi lakini hatuwezi kuacha kula chakula. Funzo kubwa sana hapa tuache kushabikia bila kufungua macho yetu. Hata kama hatuna technologia kwani Mkorea aliwezaje? Mchina je? Mtaiwani? Tuanzeni sehemu.
Hii Mariupol hawakuwa wameikamata? Au nilisoma source uchwara?Russia inaendea kusonga Mbele soon Mariupol republicanView attachment 2164305
Hivi mnaongeaga kirahisirahisi mnaona Ukraine ni nchi ndogo.... Hiyo ndivyo nchi inafuata Kwa ukubwa baada ya Urusi.... Yaaani unaunganisha nchi za ulaya hata 10 hawafikiii eneo la Urusi... Na Ukraine ndio anamfuata Kwa ukubwa wa eneo halafu MchaMbuzi Mmoja wa Mwamapalala anakaza shingo ...hiyo nchi ni kubwa ...Nafikiri kwa sasa wote tulioshangilia vita tunaona matokeo. Kwanza nampongeza Zelensky. Ni mwanaume hasa. Pili nampa pole Putin na warusi wa tukuyu. Mwezi mzima mmeshindwa kuichukua nchi. Vita sio kitu kirahisi kihivyo. Pili, sasa hata wananchi wa Russia wanajua kuna vita. Miili inarudi kwenye mabegi. Wanaokufa ni watoto wao so inawauma. Matajiri wote hela zimeyeyeka. Starehe zote kapuni. Tatizo tu ni kwamba bei ya mbolea na mafuta inanigusa na mimi. Hapa bado sana. Huwa tutajifunza tukiwa tumechelewa. Wakati vita inaanza kupulizwa mwaka 2014 tulitakiwa tujiandae. Tuna gesi tuliyowauzia wazungu bure, tunaweza kutengeneza viwanda vya mbolea na viwanda vya kuichakata gesi kuwa yenye kutumika majumbani, pia tuna ardhi ya kulima alizeti na michikichi. Tujipange maana bado bei ya unga wa ngano pia utapanda mara dufu. Tambi zitapanda, unga wenyewe, mikate na maandazi na labda bia. Tunategemea kuagiza ngano nyingi kutoka urussi au ukraine. Hii vita itufumbue macho tuwekeze kwenye vitu tunavuyotumia. Tunaweza kaa uchi lakini hatuwezi kuacha kula chakula. Funzo kubwa sana hapa tuache kushabikia bila kufungua macho yetu. Hata kama hatuna technologia kwani Mkorea aliwezaje? Mchina je? Mtaiwani? Tuanzeni sehemu.
Mnafukiri kushika eneo ni kama kushika yai eti....Hii Mariupol hawakuwa wameikamata? Au nilisoma source uchwara?
Wameukama na wanatoa misaada Kwa watuHii Mariupol hawakuwa wameikamata? Au nilisoma source uchwara?
Tayari wameshatangaza "kumaliza kazi" na wanasema wanahamia kwenye yale majimbo mawili kuimarisha uhuru. Russia imeona ikiendelea kukomaa itadharirika zaidi. Na hii ilijulikana kabisa baada ya kushindwa Putin atatafuta kichaka cha kuficha uso wake.Nafikiri kwa sasa wote tulioshangilia vita tunaona matokeo. Kwanza nampongeza Zelensky. Ni mwanaume hasa. Pili nampa pole Putin na warusi wa tukuyu. Mwezi mzima mmeshindwa kuichukua nchi. Vita sio kitu kirahisi kihivyo. Pili, sasa hata wananchi wa Russia wanajua kuna vita. Miili inarudi kwenye mabegi. Wanaokufa ni watoto wao so inawauma. Matajiri wote hela zimeyeyeka. Starehe zote kapuni. Tatizo tu ni kwamba bei ya mbolea na mafuta inanigusa na mimi. Hapa bado sana. Huwa tutajifunza tukiwa tumechelewa. Wakati vita inaanza kupulizwa mwaka 2014 tulitakiwa tujiandae. Tuna gesi tuliyowauzia wazungu bure, tunaweza kutengeneza viwanda vya mbolea na viwanda vya kuichakata gesi kuwa yenye kutumika majumbani, pia tuna ardhi ya kulima alizeti na michikichi. Tujipange maana bado bei ya unga wa ngano pia utapanda mara dufu. Tambi zitapanda, unga wenyewe, mikate na maandazi na labda bia. Tunategemea kuagiza ngano nyingi kutoka urussi au ukraine. Hii vita itufumbue macho tuwekeze kwenye vitu tunavuyotumia. Tunaweza kaa uchi lakini hatuwezi kuacha kula chakula. Funzo kubwa sana hapa tuache kushabikia bila kufungua macho yetu. Hata kama hatuna technologia kwani Mkorea aliwezaje? Mchina je? Mtaiwani? Tuanzeni sehemu.
Kuna kaugumu eeeMnafukiri kushika eneo ni kama kushika yai eti....
Vita hii ni mwanzo tayari wa dhiki kuu.Utabiri wangu. There is a great probability that a weapon of mass destruction may be used by US-NATO against Ukrainians, and Moscow will be a scapegoat.
Ndipo NATO wataivamia Russia kutoka kila pande, na hapo ndipo utakuwa ule mwanzo wa ile dhiki kuu.