Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

... the last kicks of a dying horse! Air Force One imetua salama Eastern Europe; one of the heaviest delegations ever and the airspace fully under controll. Let's keep our ears on. Jambo zito gonna happen.
Mmmh wew nawe una imani na USA/Nato, wale wazee wa mikwala tu na kupenda macamera,
Mim binafsi kabla ya invasion nilidhan baada ya russia kuivamia ukrain, USA na Nato wangeingia vitani na russia, kumbe nilikua najidanganya
 
Kwa hiyo siku hizi vita ni kama mechi ya mpila yakwamba ina muda maalumu ukiisha kabla ya lengo kufikiwa basi umeshindwa?

Kweli ukikosa akili unakuwa unepoteza kila kitu katika maisha yako matokeo yanakuwa kama haya kuongea utoporo.
 
LPR's People's Militia received Ukrainian weapons and equipment - among them NLAW anti-tank grenade launchers - which had been captured by the Russian military.
 
Mji tayari upo chini ya warusiView attachment 2164323
Mi mwenyewe ni proRussia sababu nataka sana na nnapenda sana Bipolar Politics .... Bila Urusi huu ulimwengu sijui ungekuwaje .... Urusi anafanya siasa za ulimwengu kuwa na check n balance ... Miaka yote tangu Kwa Nopeleon Bonaparte ... Mrusi ndio anafanya DUNIA iwe na balance ..yataisha haya .... Mtaona
 
Russia sio muda mrefu watakuwa nchi ya dunia ya tatu ndio wapate nguvu ya kupiganisha tena watu.

Tayari maeneo mengine wameshaanza kupimiwa sukari, mtu haruhusiwi kununua zaidi ya kilo tano, yale yale ya USSR ndio yanarudi.
 
Nina wazo moja. Kwa kuwa vita inaendelea Ukraine ila sisi tunavutana hapa jukwaani tupange kesho kambi ya Urusi na Ukraine tukutane ofisi za Jamii Forums tuchapane ngumi ubishi uishe.
Huo muda unautolea wapi ... Mtu anarusha ngumu kama anarusha kombeo .... Anaikorogaaaaaaaa ndio arushe hahahahahaaaaaa.......
 
Russia sio muda mrefu watakuwa nchi ya dunia ya tatu ndio wapate nguvu ya kupiganisha tena watu.

Tayari maeneo mengine wameshaanza kupimiwa sukari, mtu haruhusiwi kununua zaidi ya kilo tano, yale yale ya USSR ndio yanarudi.
Mkuu hayo unayo yaongea ww juzi Dw walimuhoji mtz anaye ishi Urusi anasema hakuna kitu kikubwa kilicho badilika kwenye maisha ya kawaida.
 
Japan anaugulia ndani kwa ndani ila ipo siku atalipiza kisasi. Mataifa mengi yapo na US kinafiki sema ndo hawana jinsi ila ikitokea vita US atageukwa hata amini.
Wewe ni wa kijiweni kabisa, vita vimesha pigwa mara ngapi na hawajamuacha.
 
Mkuu hayo unayo yaongea ww juzi Dw walimuhoji mtz anaye ishi Urusi anasema hakuna kitu kikubwa kilicho badilika kwenye maisha ya kawaida.
Mimi naangalia Al Jazeera watu wanahojiwa mitaani wanalia halafu wewe unaongea vitu gani bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…