Hatari Sana.Kaburi lenye miili ya watu zaidi ya 200 lagunduliwa huko Mariupol, Ukraine
View attachment 2164134
Umoja wa Mataifa umegundua kaburi la pamoja kusini mwa mji wa Mariupol, Ukraine ambalo unasema linaweza kuwa na miili ya watu 200.
Matilda Bogner, mkuu wa ujumbe wa ufuatiliaji wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Ukraine, amesema timu yake inajaribu kutathmini kiwango halisi cha vifo vya raia.
"Kuna kaburi moja tumeweza kupata taarifa zake kwa satelaiti, na tunakadiria kuwa moja ya makaburi hayo ya pamoja yana watu 200," alisema.
Lakini "hiyo haimaanishi kuwa watu hao wote ni waliokufa ni raia", aliongeza - kwa kuwa idadi hiyo ya Umoja wa Mataifa haijumuishi vifo vya wanajeshi au wale wanaokufa kwa sababu nyingine wakati wa vita.
Takriban raia 1,035 wameuawa, alisema - ingawa Umoja wa Mataifa umekuwa ukisema mara kwa mara kuwa unaamini idadi ya vifo ni kubwa zaidi kuliko idadi rasmi inayotajwa, kutokana na ugumu wa kuthibitisha ripoti na kupata taarifa kutoka maeneo yaliyoathiriwa na vita.
Mapema wiki hii, makamanda wa eneo hilo walisema wanadhani idadi ya vifo vya Mariupol pekee inaweza kuwa zaidi ya watu 3,000. Miili mara nyingi huachwa mitaani kwa sababu ya hatari kuiokoa, na wengi wao baadaye huishia kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki.
Hypersonic missile hata NATO wanajambajamba ndo unasema vijiweMkuu huna unachokifahamu majesh ya russia yamerudishwa walikotoka 100km, kuhus kituoncha mafuta nadhan ww hufaham chochote nyuma ya Ukraine kuna nani unawaza ukraine kama Ukrain, wambie shemegi zako wtoke huko baharini waje uwanjani., wao shida yao si ni Kiyv, kwanini hawaingii kyv??? Wanarusha vijiwe tu?
Nahisi kama kuna mkono wa urusi huku, maana kinachoenda kutokea ni uhaba wa mafuta, ndipo umuhimu wa Russia unapokuja 😄😄😄😄US sio wakuwaamini UMBWA wale
ila HOUTHI wananifurahisha sana aseeeeee
kama walitegemea gape atajaza SAUDIA pole yao nakwengine watakapokimbilia tutapachafua tena
Mkuu umenichekesha daahhh🤣🤣🤣😅😅Mkuu umesoma vizuri hapo juu au kiingereza chako ulisoma darasa moja na mwendazake? Hiyo missiles iliyoripua hicho kituo cha mafuta ilitokea baharini, ina maana kwamba russia kwenye ground wameshindwa sasa utaratibu wao ni kurusha makombora huko walikojificha baharini., lakini dawa yao ni wiki hii hii kuna mizigo toka UK idadi yake ni 6000, ata uko baharini hakutakalika tena watarudi kwao kabisa russia
Embu niambie lengo la Russia kuivamia ukraine ilikua ni nini? Kwenda kuikamta kiev.? Rejea maneno ya malengo ya vita ya Rais Putin, Ukraine akijiunga NATO, akijenga upya jeshi lake, sio hili la kuomba msaada kila siku, pia akifanikiwa kurejesha yale majimbo mawili yaliyojitenga basi atakua mshindi mkubwa wa vita regardless watu waliokufa.Timu Russia where you at...
Russia Just scaled down their ambition.
Baada ya kushindwa Kuiteka Kiev na kurudishwa nyuma Km 35, kupokonywa maeneo Kharkiv na hata Donbass, Russia wameamua kupeleka full force Majimbo yanataka kujitenga...
Guys Russia can't fight NATO in conventional War, this has been proven in Ukraine.
Russia imeivamia Ukraine from three fronts, North from Beralus, East from Russia na kutoka Crimea kutoshindwa kufika leo Hadi Sasa kunapaswa kuifanya Russia ufikirie upya kuhusu Jeshi lake Aisee
Kule Mariopol ndio Meli ya Urusi imelipuliwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Putin aliwahi kusema muda ambao anataka atumie Ukraine???tukakaa hivi hivi kwamba hizi ni propaganda kumbe mambo yamebadilika - hakuna yoyote aliyedhani vita hii itakuchukua siku 30 - hata Putin mwenyewe haamini.
Kuondoka huko hawezi kabisa maana itaonekana kashindwa, kwa hiyo kinachokwenda kufanyika ni makubaliano ya kumaliza vita na Ukraine moja kwa moja kujiunga NATO - na Mrusi kudhoofu ki-uchumi na huo ndio utakuwa mwisho wa utawala wa Putin - game over
Hizo silaha zinafikaje bila Urusi kuziona? Maana nimeona Drones, strellas, generatorsDonbas tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwahyo denazification na demilitarisation imeishia wapi?! Au baada ya kusikia mzigo wa silaha wa USA robo yake ushafika Kiev jamaa akaamua kubadili gia angani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpakani mwa Poland na UkraineHizo silaha zinafikaje bila Urusi kuziona? Maana nimeona Drones, strellas, generators
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii vita ngumu kuisha maana Ukraine atapewa Ndege vita na Ulinzi wa Anga hapo Ukraine ataanza mtoa Urusi taratiibu na Crimea itarudi Ukraine kwa njia yoyote ileTimu Russia where you at...
Russia Just scaled down their ambition.
Baada ya kushindwa Kuiteka Kiev na kurudishwa nyuma Km 35, kupokonywa maeneo Kharkiv na hata Donbass, Russia wameamua kupeleka full force Majimbo yanataka kujitenga...
Guys Russia can't fight NATO in conventional War, this has been proven in Ukraine.
Russia imeivamia Ukraine from three fronts, North from Beralus, East from Russia na kutoka Crimea kutoshindwa kufika leo Hadi Sasa kunapaswa kuifanya Russia ufikirie upya kuhusu Jeshi lake Aisee