passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
JidanganyeHii vita ngumu kuisha maana Ukraine atapewa Ndege vita na Ulinzi wa Anga hapo Ukraine ataanza mtoa Urusi taratiibu na Crimea itarudi Ukraine kwa njia yoyote ile
Sent using Jamii Forums mobile app
Cremia ni Mali halali ya Russia na hakuna wa kuchukuaHii vita ngumu kuisha maana Ukraine atapewa Ndege vita na Ulinzi wa Anga hapo Ukraine ataanza mtoa Urusi taratiibu na Crimea itarudi Ukraine kwa njia yoyote ile
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa Ukraine wanasema wameteka maeneo wakati huo huo wanasema wamepigwa kuliko Syria hatuwaelewiUkraine wakiri wamepigwa kuliko Syria ndani ya siku 22 tuView attachment 2164374View attachment 2164375View attachment 2164376
Hawa Ukraine wanasema wameteka maeneo wakati huo huo wanasema wamepigwa kuliko Syria hatuwaelewiUkraine wakiri wamepigwa kuliko Syria ndani ya siku 22 tuView attachment 2164374View attachment 2164375View attachment 2164376
Ramani yenu ime simama iko pale pale. vipi hapo kiev amja toboa tu super power wa mchongoEndelea tu sisi tunasogea magharibi tunamalizia kusini tunakuwa tumezunguka nchi nzima View attachment 2164545
Poland Kuna mtu ana kiherehere kuliko nadhani EU yoteee kabisa akifuatiwa na Biden...The Prime Minister of Poland invited the EU to stop issuing visas to Russians as part of anti-Russian sanctions.
Galip SV Liwagu View attachment 2164400
Najua watawasingizia Urusi, but this is a false flag. Ninavyojua jeshi la Ukraine ambalo limejaa Nazis,wameua wananchi in collaboration with the West,halafu wasingizie Jeshi la Urusi,ili wapate sababu za kuanzisha WWIII.These nuts and psycopaths will not rest until they have started WWIII for the sole purpose of annihilating Russia and so create favourable conditions for a Global Government.
Ukraine ni mandumila kuwiliHawa Ukraine wanasema wameteka maeneo wakati huo huo wanasema wamepigwa kuliko Syria hatuwaelewi
Wewe asee unajua lakini urusi hawajuiNilichogundua hii vita NATO ni kama wanamzuga putini wanaonekana wajinga kumbe ,kumbe kuna mipango mingi wanaifanya kwa siri pasipo yeye kujua,alafu zelesky anatumia mbinu ya kulalamika hakuna sapoti
Sio masihara tu na maBeyonce yapo mkuuu...Masihara haya....