Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hicho kifungu cha member wa NATO kinajulikana sio anakirudia rudia tu bila mpango........
yy anachopaswa kufanya aingie kumsaidia Ukraine sio kuleta makelele yasiyo na mpango
Mshauri Vladimir atie mguu NATO - thubutu anajua vizuri kiama. Vamia mmoja umevamia wote- 30 member states blaza.
 
Shida nikwamba mnatumia fact kuwaelezea mambo watu wanaopelekeshwa na hisia
Ahsante kwadarasa MKUU ila pole kwakupoteza muda wako dhidi ya hao mashabiki
 
Hivi kumbe dunia ya kibabe ni dunia salama sana kuliko dunia ya kiustaarabu na kuheshimu mamlaka ya kila nchi..??

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mtu mwenye akili nyingi
Huko kwao wanamwita VVP.
Yaani Vladimir Vladimilovic Putin
 
Ha ha haa.
 
Mijitu mioga utaijua tu.
US alone kwa Russia ni underdog

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Itakuwa hukunielewa msingi wa hoja yangu na mfano wa yale magoli 5-1.
Ni hivi hizo goli tano ndio hizo objectives za vita na hilo goli moja alilofungwa ndio hizo hasara alizopata kufikia hizo objectives za vita.
Kwa kusema wote wamepoteza sio sawa. Nikuibie milioni 5 halafu wewe uniibie milioni 1 halafu useme sote tumepoteza. It is a BIG NO.
 
Propaganda hizi mara the bear kaishiwa hadi mabomu ya mkono ,mara magari hayana mafuta majeshi ya moscow yanatumia baskeli kubwa kuliko sasa wakasema jamaa hawana chakula wanashindia mihogo ya kukaanga [emoji23][emoji23][emoji23] haya washakula huko
Zombie zinakubali eti urusi imeishia Kuna mazombie humu yakipewa Habari na BBC na CNN wanaleta humu kama zilivyo yani hata leo Western midia wakisema wanajeshi wa Urusi wameishiwa Mavi kwenye utumbo mpana stock ya Mavi tomboni imebaki ya masaa nane utawaona watumbaktu na shumizi zao na madela ya kisomali wakija spidi kwamba Urusi kwisha Habari hawana storage ya Mavi tumboni ilihali Mavi hayana msaada wowote kutujazia uzi tu kwa Habari za upuuzi na kurudi picha mlizotuma huko nyuma we need news from battle ground not western huu uzi ni wa vita na fita ni fita mura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…